kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 489
Siamini kama MOYO unamfanya mtu aishi japo ni kiungo muhimu maana nimesikia kuna watu wana mioyo ya plastic na inafika wakati wana badili na batteries na baadhi ya operations hulazimika kuu size moyo ama wakati mwingine wanatumia na pump maalumu ku supply damu kitu kinacho niumiza kichwa ni GASEOUS EXCHANGE sijawahi kusikia modification yoyote ya MAPAFU na eneo hilo kwa ujumla either kwa kumbadilishia mtu ama lah zaidi ya mitungi ya gasi ya kukulazimisha upumue ili GASEOUS EXCHANGE i take place nafikiri ishu ya UHAI kwa kiumbe yeyote alie hai ipo hapo