Kisayansi kifo ni nini? Kidini kifo nini?

Siamini kama MOYO unamfanya mtu aishi japo ni kiungo muhimu maana nimesikia kuna watu wana mioyo ya plastic na inafika wakati wana badili na batteries na baadhi ya operations hulazimika kuu size moyo ama wakati mwingine wanatumia na pump maalumu ku supply damu kitu kinacho niumiza kichwa ni GASEOUS EXCHANGE sijawahi kusikia modification yoyote ya MAPAFU na eneo hilo kwa ujumla either kwa kumbadilishia mtu ama lah zaidi ya mitungi ya gasi ya kukulazimisha upumue ili GASEOUS EXCHANGE i take place nafikiri ishu ya UHAI kwa kiumbe yeyote alie hai ipo hapo
 
Mtoa Mada ungekua una Dini
Ungepata jibu lako la
NINI MAANA YA KIFO
Hapa Naona unatupotezea muda kuchart na Mikafiri isiomjua MUNGU WAO ALIOWAUMBA..
Hakuna Mwanasayansi anaemuamini MUNGU
Wote hao ni Makafiri tu
Dini mkristo tena damu damu kwelikweli
 
Kwa mjibu wa Dr Elvid Waminiani ,kupitia clouds fm katika Kipindi cha Temino. Anasema kwamba, watu hawafi mwili ndo umakufa lakn nafsi yako inakuwa hai Siku zote

Biblia inasema Mtu anakufa.
Ezekieli 18:4
Mhubiri 9:5,6
mwanzo ³:¹9
 
Dini mkristo tena damu damu kwelikweli
Kama damu damu kweli ktk dini vipi usijue nini maana ya KIFO??
Soma vizuri kitabu cha dini kinasema nini kuhusu au maana ya KIFO..
Unaweza kua na dini lkn ukawa Mkumbo tu kwenda kusali lkn usijue lolote kichwani
 
Kama damu damu kweli ktk dini vipi usijue nini maana ya KIFO??
Soma vizuri kitabu cha dini kinasema nini kuhusu au maana ya KIFO..
Unaweza kua na dini lkn ukawa Mkumbo tu kwenda kusali lkn usijue lolote kichwani
Yaliyoandikwa hayajawahi kidhibitishwa any where kisayansi
 
Dr. Elvid alikufaga? Kwamba anajua mambo t
ya roho? Ni uwongo uwo mkuu hakuna maisha
Hakuna kitakachoamka baadaya ya kufa
Sasa wewe unapinga nini halafu unasema nini tena?

Umeeleza vizuri kuwa huyo Dr. Elvid hajawahi kufa hivyo hawezi kujua,ajabu wewe nae unasema hakuna kitakachoamka baada ya kufa wakati wewe mwenyewe pia hujawahi kufa.
 
Kujua kifo ni swala dogo mno lakini litakuwa gumu muno kama hujajijua wewe ni nani ?
Na ukitaka ujue we ni nani lazima ufute yote unayohisi unayajua na uanze upya kutafuta hasa hicho kitu wewe naa kwa ninavyo kuona unaogopa kifo kwasababu unahofu na kifo kama hofu hauna uwezi ogopa kifo je nani anakutia hofu ya kifo je hichp anachokutieni hofu alishawahi kukihishi je hofu ni nini na chanzo cha hofu ni nn .

Siku ukijua mambo kama hayo kifo kitamu sana ha ha ha ha haaaa utatamani ufe ha ha ha ha ahaaaa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom