secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,641
- 50,172
Hata ukifanya dhambi mbona hakuna shida, dhambi ni neno lililotungwa tu ili watu wasifanye vile tusivyovitaka katika jamii.
Endelea kufumba macho ngumi ya usoni yajaSidhani.... Kwa neema ya YESU nitashinda.
Yes sweetheart 💕 ndo tunaishi humoTiba ya usaliti ni KISASI.
Haswaa dear, Usaliti Tiba yake ni kisasi.Yes sweetheart 💕 ndo tunaishi humo