Nakushauri kuwa usi mtombe kwa ajili ya kumlipizia kisasi huyo bosi wenu,kwani kwakufanya hivyo itakuwa umetengeneza hasira ndani ya moyo wako, we mpige pu mbu kwakuwa alikuwa wako wa zamani na ufanye siri sana wala usijisifuPongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.
Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.
Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.
Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.
Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.
Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.
Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.
Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.
Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.
Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...
Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.
Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???
Karibuni kwa ushauri.
Maoni yako ya ajabu sana kupiga mbupu ndio tukio kuu... bila kujali ni X girlfriend ama mke wa mkudaNakushauri kuwa usi mtombe kwa ajili ya kumlipizia kisasi huyo bosi wenu,kwani kwakufanya hivyo itakuwa umetengeneza hasira ndani ya moyo wako, we mpige pu mbu kwakuwa alikuwa wako wa zamani na ufanye siri sana wala usijisifu
Mzee bora ujiajiri huku kuajiriwa sio kabisa your educated enough we jipange tuu other wise watu wanawezakukufanyia kitu mbayaHeshima yako mkuu Branch Manger. Mkuu samahani niko chini ya miguu yako nina MBA ni mwaka wa 7 natafuta ajira sipati. Nakushauri mkuu usichezee kazi kwa kumtafunia Mheshimiwa Zonal Manager mtaani kugumu huku ukitumbuliwa jipu.
1, Kumkomesha mtu asiyejuwa kwamba anakomeshwa ni kazi bure... I'm huwezi mpa taarifa kwamba unamkomesha kwa kumgegegda mkewePongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.
Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.
Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.
Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.
Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.
Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.
Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.
Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.
Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.
Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...
Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.
Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???
Karibuni kwa ushauri.
Hakuna detail yeyote niliyo weka wazi hata kama na yeye mwenyewe akisoma akijishiku atakua mpumbavu saana kwasababu si kampuni yetu tuu yenye mfumo wa ma branch na zonal mngr so usiogope hilo nimejipangaMkuu achana na hilo wazo, mwisho wake ni mbaya sana.
Halafu mbona umetoa too much details? Mimi tu hapa nishajua unafanya kampuni gani!!!!
Hata hivyo, baada ya kutafakari mindsets za hao Mameneja (kama wote ni wa aina yako), nahisi kabisa kampuni yenu ina shida kubwa. Anyways, kila la kheri kwenye kulipiza
Acha kumfundisha mwanaume uoga, kwani hiyo kazi ndio mwanzo na mwisho, hapa ilipofikia hii dunia sio mahali paunyenyekevu tena, binadamu wamekuwa na roho mbaya kuliko wanyama. Ingekuwa ni bos wake ameipata nafasi hiyo angemuacha demu wa msela?Achana na pepo la visasi, usirudi nyuma, huyo X wako hakutakii mema, utajafukuzwa kazi kwa aibu na kuchafua CV yako buree! Wambili havai moja, boss wako ni boss tu kakutangulia! Kumbuka kisasi huzaa kisasi, violence breeds more violence, do away with that evil attitude and move on! Blessed.
ga aappointment nae mvue chupi sugua vizuri kakaPongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.