Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

Pongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.

Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.

Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.

Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.

Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.

Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.

Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.

Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.

Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.

Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...

Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.

Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???

Karibuni kwa ushauri.

Yaani uliogopa kwenda Na Mkeo kwenye party kisa kuogopa kuaibishwa Na bosi??? Sijui ulitoa sababu gani kwa mke lakini that's inferiority which most women can't tolerate it. Mtenda hutendwa so be ready for the results.
 
Ndio maana taifa liko duni namna hii... Kama mleta mada ni manager sijui hao walio chini yake ni maselule kiasi gani
 
Hi Manager...sorry which company is that?

Unamkomoa nani sasa hapo?
 
Hakuna detail yeyote niliyo weka wazi hata kama na yeye mwenyewe akisoma akijishiku atakua ******** saana kwasababu si kampuni yetu tuu yenye mfumo wa ma branch na zonal mngr so usiogope hilo nimejipanga

Sawa....
 
Hicho hata siyo kisasi... kwa sababu huyo mwanamke ni kama hawara kwako...
 
Mdogo wangu hii inahusiana vipi na kisasi?!
Nijibu haya:-

1. Unampenda mkeo?
2. Unakumbuka kiapo cha ndoa?
 
potezea mkuu uyafanyayo kwa mwenzako nawe utafanyiwa hayohayo japo kazi unayo maana atakuganda zaidi ya superglue
 
Pongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.

Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.

Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.

Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.

Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.

Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.

Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.

Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.

Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.

Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...

Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.

Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???

Karibuni kwa ushauri.

Bonge la hadithi
 
Umekurupuka! Sasa hizi details ulizoweka hapa kama huyu mumewe yumo humu si anaweza kufahamu nini kinaongelewa hapa? Unajiweka katika hali ya hatari be extra careful Mkuu.

Naomba nikutaarifu, nimeisoma thread yako..tafuta kazi sehemu nyingine..!
 
Kabla hujafikiria kumuumiza Boss wako mfikirie mkeo kwanza na watoto, watakua kwenye hali gani baada ya wewe kumsaliti kwa lengo la kulipiza kisasi cha kelele za boss wako.
 
Nyie wafanyakazi wa TFDA hapo SAKINA acheni mambo ya kitoto.
 
Umekurupuka! Sasa hizi details ulizoweka hapa kama huyu mumewe yumo humu si anaweza kufahamu nini kinaongelewa hapa? Unajiweka katika hali ya hatari be extra careful Mkuu.

Mwongo huyu
 
kila mtu ana ujanja wake ktk mazingira yake yeye mjanja kazini wewe kwa mkewe mgegede bhana acha uoha
 
Back
Top Bottom