Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

wewe na yeye nani anatafuna mke wa mwenxie ? mnaajua mkivaa nguo na hata mkivua. alipooa hakuja anaoa mke wa weengne ? turudi zamani ili kila mtu mume awe na mke waujana wake
 
Achana na habari za visasi mkuu, msamehe huyo jamaa kwa anayokufanyia.

Wewe piga kazi maisha yaendelee.
 
Meneja ukimla uandae TIGO PESA yako maana meneja dizaini yako dub?
 
Branch manager uliyesoma Uganda inaonekana Boss wako alikumegea mkeo sasa unataka ulipize? Haya bhana kumbuka kutumia ndomu.
 
aisee...shigongo njoo haraka hapa ujitwalie hii hadidhi
 
kwa mfano sasa utakuwa umemuumiza vipi kama ukimtafuna mana utamwambia kuwa unamgonga mkewe au na ikiwa hivyo si itakuwa ugomvi
siyo poa 7bu wewe mme wa mtu na yeye ni mke wa mtu mkaushie
chakufanya kama unataka umuumize na heshima iwepo
tengeneza mazingira ajue kuwa wewe huyo alikuwa demu wako na ushamkanyaga sana kipindi hicho cha nyuma
hapo heshima itarudi 7bu ukimjua aliyekuwa anamla demu wako kabla lazima saluti ziwepo

Kwahiyo Ally Kiba anampigia saluti Diamond kwa Jokate
 
Achana na pepo la visasi, usirudu nyuma, huyo X wako hakutakii mema, utajafukuzwa kazi kwa aibu na kuchafua CV yako buree! Kumbuka kisasi huzaa kisasi, violence breeds more violence, do away with that evil attitude and move on! Blessed.
soma ujumbe huo tu, na haina haja ya kuendelea kusoma maon mengne zaid. the advice is fully contented!!!take it seriously!!!! ok, branch mng???

otherwise don't blame anyone that u weren't warned!!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Heshima yako mkuu Branch Manger. Mkuu samahani niko chini ya miguu yako nina MBA ni mwaka wa 7 natafuta ajira sipati. Nakushauri mkuu usichezee kazi kwa kumtafunia Mheshimiwa Zonal Manager mtaani kugumu huku ukitumbuliwa jipu.
 
hiyo haitakuwa kisasi bali umeanzisha mapambano mapyaaaa!!!mapambano ambayo wewe na bosi wako wote mtaishia kuwa washindwa!!!ukimla mkewe nae akaja kumla mkeo unadhani nani atakuwa kashinda labda???ushauri ninaokupa,piga kazi harder and smarter zaidi yake uwe promoted to zonal or even country manager/director...hiyo ndio itakuwa kisasi bora
 
Huwa najiuliza hivi vijana wa zama hizi tuna tatizo gani? Hivi kama wewe ndo branch manager follower wa hiyo office yako wakoje? Yaani hapo at the end of the year utataka kuwa promoted to higher level. Very sad.
 
Pongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.

Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.

Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.

Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.

Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.

Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.

Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.

Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.

Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.

Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...

Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.

Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???

Karibuni kwa ushauri.
kuna wimbo unasemaga...."mke wamtu ni sumu utakojoa dagaa"..hii ni rap ya zamani kidogo...nadhani kuna kaujumbe
 
Mkuu achana na hilo wazo, mwisho wake ni mbaya sana.

Halafu mbona umetoa too much details? Mimi tu hapa nishajua unafanya kampuni gani!!!!

Hata hivyo, baada ya kutafakari mindsets za hao Mameneja (kama wote ni wa aina yako), nahisi kabisa kampuni yenu ina shida kubwa. Anyways, kila la kheri kwenye kulipiza
 
soma ujumbe huo tu, na haina haja ya kuendelea kusoma maon mengne zaid. the advice is fully contented!!!take it seriously!!!! ok, branch mng???

otherwise don't blame anyone that u weren't warned!!!
Thanx 4 the emphasis! Blssd
 
Back
Top Bottom