Kisanduku cheusi chapatikana Comoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisanduku cheusi chapatikana Comoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Jul 1, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kisanduku cheusi chapatikana Comoro

  Imeandikwa na Mwandishi wa BBC.


  Aina ya ndege iliyopata ajali.
  Maafisa wa Ufaransa wanasema waokoaji wamepata kinasa sauti cha ndege ya Yemen iliyoanguka pwani ya visiwa vya Comoro hapo jana.
  Serikali ya Ufaransa ambayo imeongoza shughuli za uokozi imesema kifaa hicho kilipatikana kilomita arobaini kutoka kisiwa kikuu cha Comoro.

  Wakati huo huo taarifa zimetolewa za jinsi msichana wa miaka kumi na minne alivyonbusurika katika ajali hiyo. Mtu aliyemuokoa amesema alining'inia kwenye mabaki kwa saa kadhaa kabla ya kuokolewa.
   
Loading...