Mwambie tuu awe anaosha jamanii..
Vipi ushindwe utaamu wake!!natamani niuguse siku moja ila sukari ya tende itanishinda
Au jipikie tuu mwenyewe shogaa,.kuepuka dhambi ya kumwaga mboga hahha
Kujipikia mwenyewe sio shida. Tatizo huyu jirani kila akipika lazima anipe hivi hapa ninacho kina siku tatu hapa ndani, kumwaga naona dhambi kukila nashindwa nasubiri nipate mgeni nimsakizieAu jipikie tuu mwenyewe shogaa,.kuepuka dhambi ya kumwaga mboga hahha
Lol,.sasa hivi vya mitaani unaweza kununua kweli???Kwa mfano cha queen tifa,.Kujipikia mwenyewe sio shida. Tatizo huyu jirani kila akipika lazima anipe hivi hapa ninacho kina siku tatu hapa ndani, kumwaga naona dhambi kukila nashindwa nasubiri nipate mgeni nimsakizie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala siwezi tena kisamvu cha kuandaliwa na mtu mwingine baada ya kuona hiyo ndio sili kabisaLol,.sasa hivi vya mitaani unaweza kununua kweli???Kwa mfano cha queen tifa,.
nakinai mapema sana nikila kitu chenye sukari au mafuta mengi hata hiyo haluwa inanishindaga mafutaVipi ushindwe utaamu wake!!
Ipo ingine yaitwa Haluwa !! Weee hapo utalamba vidole hadi vipauke...
Wapi tena, kimbiaaa uko namm nakufataa. Nitakapokukamatia ...unashika vidolelooh
Em nipumzishe basii lohππukojeeeeππWapi tena, kimbiaaa uko namm nakufataa. Nitakapokukamatia ...unashika vidole
Kukupumzisha ???ndo kwanza natafuta kukojoa?? JikazeeEm nipumzishe basii lohukojeeee
Ndiyo nilipata mbegu nikalima na ninakula. Jana ndo nimemaliza kwa sasa nitasubiri baada ya mwezi. mshana jr. atakutumia picha mimi sijui kuweka picha.Kwahiyo kwa sasa unakipata na kukitumia kwa urahisi??
Nadhani Kigoma wanatumia mafuta ya maweze hata baadhi Bukoba. Ila mimi natumia zaidi Karanga, ginger, onions na garlic na weka na coconut milk kidogo.kitakuwa hicho-hichoπππtofauti upishi tuu
Hii hapa dadaNdiyo nilipata mbegu nikalima na ninakula. Jana ndo nimemaliza kwa sasa nitasubiri baada ya mwezi. mshana jr. atakutumia picha mimi sijui kuweka picha.
Hakika ni tamu sana, nimekila usiku wa janaMboga niipendayo miaka yote. Kisamvu ugali, kisamvu wali halafu pembeni kuwe na samaki wa kukaanga.