Kisamvu...

Ukiongea kisamvu natamani niseme lakini najua nitajulikana hivyo sisemi. Watu tumeenda mpaka kusaka mbegu mpaka nchi za watu, kisa, tulipo hakilimwi. Nilishalima kisamvu kwenye pipa nchi fulani nikamwonjesha mwenye nyumba wangu, siku naonodoka alipiga marufuku mtu asiguse. Kisamvu ni ugonjwa wangu ila ina maana nina nutrients fulani nazimiss kwenye mwil zinazonifanya nikitafute sana. Unavyoona mama mwenye mimba anakula udongo ndo mimi na kisamvu which means there are vitamins I am looking for from those leaves. Nilipandisha miti kwenye ndege lakini watu wa airport huku ughaibuni walinielewa na walijua ni mumu kwa mumu nchi jirani ila Ulaya nisingefika.
Kwahiyo kwa sasa unakipata na kukitumia kwa urahisi??
 
"Baby chuma Kisamvu!"
"Baby chuma Kisamvu!"
"Baby chuma Kisamvu!"
"Haya... Haya.... Waonyesheeee!


"Baby chuma Kisamvu!"
"Baby chuma Kisamvu!"

Q Chilla!

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190111-WA0079.jpeg


Jr
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jinsi uliivyoelezea umenifanya kama nakuona kabisa jinsi unavyoipika hiyo mboga ya Kisamvu. Yaani mwili wote ulikuwa unasisimka kwa raha. Kama hautojali tupia hata ka video clip bibie.
 
Jinsi uliivyoelezea umenifanya kama nakuona kabisa jinsi unavyoipika hiyo mboga ya Kisamvu. Yaani mwili wote ulikuwa unasisimka kwa raha. Kama hautojali tupia hata ka video clip bibie.
Lol,.ntajitahidi basi kunogesha na video siku moja,.😊
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom