Kumbe alishakwambia kinachomkwaza na asichokipenda ila ukaendelea kuyafanya ambayo unajua mwenzio yatamkwaza ni dalili za kibri na jeuri......boyfriend wako yupo sahihi
Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50[emoji16]ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love[emoji173] " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huwaga wanakuwa na utoto sana na ushambaa sijuii yani bora upige chiniNajua anachopitia huyo boyfriend wako, unamtesa sana na amevumilia amechoka. Hata mimi nilishawai kuwa na mwanamke kiswaswadu kama wewe, anajidai yeye ana mahaba sana na marafiki zake wa kiume, mara awaite dear, darling, love,
Nikafika sehemu nikasema imetosha nikampiga chini iliniuma sana ila nilimove on paka sasa ni miaka miwili imepita bado anataka kurudi kwangu, eti ameacha amejifunza na blah blah kibao, the good or bad thing nilimpata aliyenielewa na kujua nataka nini na nini sitaki,
Jiandae kwa lolote inawezekana tayari umeshapigwa chini
Yote mema i don careNajua anachopitia huyo boyfriend wako, unamtesa sana na amevumilia amechoka. Hata mimi nilishawai kuwa na mwanamke kiswaswadu kama wewe, anajidai yeye ana mahaba sana na marafiki zake wa kiume, mara awaite dear, darling, love,
Nikafika sehemu nikasema imetosha nikampiga chini iliniuma sana ila nilimove on paka sasa ni miaka miwili imepita bado anataka kurudi kwangu, eti ameacha amejifunza na blah blah kibao, the good or bad thing nilimpata aliyenielewa na kujua nataka nini na nini sitaki,
Jiandae kwa lolote inawezekana tayari umeshapigwa chini
Kumbe unajua boyfriend wako hapendi nini na wewe umefanya nini,endelea na uzungu wako sasa bwege kweli wwHabari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50[emoji16]ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love[emoji173] " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
acha uzungu sisi ni waafrica, ya wazungu waachie wazungu...cha kufanya mpe simu yako akae nayo walau siku 3 ajiridhishe kwamba jamaa alikuwa hali mzigo...
Hata uyo mwenzio ali "don care" Nilipompiga chini, ila sasaivi ana care,Yote mema i don care
huyo boyfriend wako yupo humu jf??? haya sasa ni mimi hapa[emoji17]Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50[emoji16]ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love[emoji173] " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno