Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kama ulikua haujui definition ya Shobo ndio hiyo ya kwako kwa hao Wazungu;unaonesha ni mtu wa kupapatikia sana foreigners,huyo mtoto mwenzio ashukuru ametua time bomb
Acha ku proove wrong maisha yangu hujui nimesoma wapi au nilizaliwa wapi au nilikulia wapi ... Dont judge
 
Huo ndo ukweli huyo jamaa anakukulaa...!! Either now or later atakugongaa tuu hongera kwa jamaa kutumia busara kukudump mtu mpuuzi kama wewe..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maneno ya mkosaji anikule alikwmbia anarudi?????? nauli utamtumia???? au ww ndgu yako atafikia kwako???? mind your head
 
Kazi kwelikweli jamaa hana kosa lolote we ndo ulitakiwa kuomba msamaha waliya juu na kumuhakikishia kwamba sitarudia, ukishaingia kwenye ndoa Au mahusiano marafiki piga chini ndo maana wengine mpaka line za simu wana badili, wivu una husika kwenye mapenzi ya kweli,
Jamaa anaonekana mkweli sana usimtese,Mzungu kitu gan
 
Thanks dear ..Nmekuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…