Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
365
Reaction score
196
Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
 
Inshort mshachokana shost! Mi mbwa wangu ni dume but napenda kumwita BABY bas ningeshaachwa kitambo.Love relationship without complications ndo inaenda sawa.
 
Swali la msingi Kama unajua hapendi hvyo vitu kwann upost? Hayo maneno!!!!!! Mbona Kuna lugha nyepesi tu!!!!!

Kuna vitu vingne mnavitafuta wenyewe!!!!!!¡!???

Ukifuata utaratibu wa kabila lako na taifa lako hutogombana nae!!!!!!!!!!
 
Utoto unakusumbua kwan usipowapost siku zao hazipendezi,na hyo mvulana wako wote n teenagers kama mnaoneshana mnavotongozwa bado hamjakua,ok labda huwez kujizuia kupost vip ukiandika rafik yako,madai yako unaiga uzungu bas kadate na hao wazungu
 
Mapenzi na Uzungu vitu viwil tofaut...
Kwamba mzee hata babe bae honey hazitakiwi kabisa.

Wanaume hutuuma saaana mwenzako anapopewa attention kukuzidi...mbona unaweza kuandika happybirthday Bonny na ujumbe wa kuwish ukafika.

Umesema umemaliza form six mwaka jana!! Drama tamu saana umri unaruhusu wala usianze kuomba ushauri ukifikisha 35 utaomba nini!!!
 
Swali la msingi Kama unajua hapendi hvyo vitu kwann upost? Hayo maneno!!!!!! Mbona Kuna lugha nyepesi tu!!!!!

Kuna vitu vingne mnavitafuta wenyewe!!!!!!¡!???

Ukifuata utaratibu wa kabila lako na taifa lako hutogombana nae!!!!!!!!!!
Yaan .. Kuna kipindi pia niliwahi kuishi maeneo flani yaan ndo nikajikuta na mimi wa mambele ndo maan unakuta napost kitu nasahau kabisa kama hii ni tanzania
 
Kumbe alishakwambia kinachomkwaza na asichokipenda ila ukaendelea kuyafanya ambayo unajua mwenzio yatamkwaza ni dalili za kibri na jeuri......boyfriend wako yupo sahihi
Jamani siyo hivo...Yaan sijui hata nisemeje
 
Utoto unakusumbua kwan usipowapost siku zao hazipendezi,na hyo mvulana wako wote n teenagers kama mnaoneshana mnavotongozwa bado hamjakua,ok labda huwez kujizuia kupost vip ukiandika rafik yako,madai yako unaiga uzungu bas kadate na hao wazungu
Dah niende uzunguni tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom