Wanawake Wa Kinyaturu Hawawezi Kufanya Ushenzi HuoHUYO MWANAMKE KWA VYOVYOTE NI MNYATURU TU.
Yeah... bora mchepukaji kuliko muuaji.mke ana roho ya kikatili,ya uuwaji
Mkuu dawa upo?, huonekani kabisa jukwaani kulikoni?.Yeah... bora mchepukaji kuliko muuaji.
Sasa muuaji anaenda kunyea ndoo afu mwizi anaendelea kufaidi fimbo za wachepukaji wengine
Ukishajua tu uchepukaji siku hizi ni inevitable... basi haya mambo hayakupi shida. Unaukata mshipa wa wivu maisha yanasonga mbele..Kila mmoja atamuona mwanamke hafai ila kiukweli hata wanaume wapo wanaofanya mambo ya kikatili kushinda hayo aliyoyafanya huyo mwanamke.
Mie nadhani shida ipo kwa namna watu wanavyoyapokea hayo mambo sababu waeza kuta huyo dada hana hata ushahidi bali anahisi hisi tu.
Apumzike wa Amani Baba wa watu.
Nipo kiongozi.. vyuma vimekaza tu.Mkuu dawa upo?, huonekani kabisa jukwaani kulikoni?.
BuhahahahahahahaUkishajua tu uchepukaji siku hizi ni inevitable... basi haya mambo hayakupi shida. Unaukata mshipa wa wivu maisha yanasonga mbele..
Mi nikikuta kidume yuko na mai waifu wangu... kwanza namshukuru kwa kunisaidia kazi ya kujaza shimo lisilojaa afu namsihi amwache mapema mke wangu ili akawapikie wanetu...
Nami nakata kona kuelekea kwa Hadija kuitii kiu yangu kabla sijampigia Salome kwa miadi ya kesho.
Unadhani matatizo yanafanana? kama wa jamaa ni muuaji wako anaweza kuwa mchoyo so matatizo ya Ndoa hayafananiNingekuwa sijaoa nisingeoa kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti babu.Ukishajua tu uchepukaji siku hizi ni inevitable... basi haya mambo hayakupi shida. Unaukata mshipa wa wivu maisha yanasonga mbele..
Mi nikikuta kidume yuko na mai waifu wangu... kwanza namshukuru kwa kunisaidia kazi ya kujaza shimo lisilojaa afu namsihi amwache mapema mke wangu ili akawapikie wanetu...
Nami nakata kona kuelekea kwa Hadija kuitii kiu yangu kabla sijampigia Salome kwa miadi ya kesho.
Ukikua utaoa!Aiseee... nazidi kutowekwa na imani ya kuoa ..sidhani kama nitakuja kuoa Aisee
Kawaida ya baadhi ya wanawakemke ana roho ya kikatili,ya uuwaji
Ngoja wakamtengenezee mdoli.Nipo kiongozi.. vyuma vimekaza tu.
Si umeona mpk baba wa Dar kaenda kutafuta mtoto China?
mbona una karili maisha "" unamjua " ""!? Leonard da Vince ""...!?Ukikua utaoa!
Wanawake Wa Kinyaturu Hawawezi Kufanya Ushenzi HuoHUYO MWANAMKE KWA VYOVYOTE NI MNYATURU TU.