Kisa mchepuko amuua mumewe kwa mafuta ya moto

Kisa mchepuko amuua mumewe kwa mafuta ya moto

Mazingira nayomwinyesha kama ana akili atajua tu mzee mzima nshamtafutia wasaidizi. Maana simu ina password utafikiri nina access ya kuingia chumba cha kuwashia Nuclear cha Korea Kaskazini...

Afu kuliko nisahau simu ni afadhali nisahau kuvaa boxer... hajastuka tu?

Kuna siku nilisahau simu nilirudi nyumbani speed utadhani nafukuzwa na nyoka koboko.... sasa kama hajastuka tu mpk hapo atakuwa mzembe kiasi kwamba naweza kumtafuna osigelo kitandani kwetu wakati yeye anaangalia tamthilia sebuleni
Osigelo haha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Michepuko kw
Baada ya kugundua mume wake ana mchepuko amvizia akiwa bafuni anaoga na kumwagia mafuta ya moto yaliyo sababisha kifo chake.

Siku hizi trend ya wanawake kuwamwagia waume zao maji ya moto au mafuta ya moto imekuwa kubwa sana..It is as if dunia sasa inatawaliwa na majini wa moto.

Anyways ushauri wangu ...Kama unajijua una michepuko piga marufuku suala la upikaji au uchemshaji wa kitu chochote nyumbani kwako..muwe mnakula hotelini ..

Pili huduma ya kwanza kwa MTU aliyemwagiwa maji au mafuta ya moto.

1. Paka asali mbichi kwenye maeneo yaliyo athirika

2. Paka powder ..Ni tiba mujarabu sana ambayo inasaidia kukausha vidonda na kurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida.

3. Chukua manyoya ya sungura yaunguze hadi yawe majivu halafu yapike na mafuta ya kula kisha yahifadhi kwenye chupa .yaweke sehemu ya karibu au uwe unatembea nayo muda wote ..ikitokea umemwagiwa maji au mafuta basi haraka haraka jipake dawa hiyo .
Ni tiba mujarabu sana na itasaidia kuponyesha majeraha ya moto na kurudisha ngozi katika hall yake ya kawaida bila kuacha makovu.

Kingine uwe unatembea na pain killers muda wote cause maumivu ya maji au mafuta ya moto si ya dunia hii.

Kama utashindwa kuzuia upikaji nyumbani kwako basi usigombane na mkeo akiwa anapika jikoni au vitu vikiwa vinachemka ..Kuwa makini sana na nyendo za mkeo akiwa anapika..
Michepuko no jambo LA kawaida lakini kumwagia MTU maji ya moto ni kosa,kama amekuchukia dawa ni kuachana tu lakini sasa kuna adhabu ya kifo badala ya kuwa na mwingine mzuri zaidi mama huyo ajitayarishe kwa adhabu ya kifo !
 
Wanawake ni makatili by nature

Ova
Wale wanaowadhuru wake zao kwa kuwasaliti huwa ni wanawake ama? Mkifanyiwa nyie ndio mnatuona wakatili..akifanya mwenzenu mnampongeza. Acheni ubinafsi ndio maana mnachinjwachinjwa siku hizi..
 
Tabia ya mtu haijifichi mchumba uliyedumu nae kwa miezi hata 24 lazima tabia zake unazijua vzr sn.

Huyo mpk anamwagiwa mafuta lazima kuna mambo mengine yalishatokea lkn watu hawakujua...mm nlishakuwa na msichana akikasirika anavunja hata tv nikaachana nae haraka sn
Sio wote wanaonyesha dalili tangu nwanzo. Ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna malalamiko kwenye ndoa maana kila mmoja angempata ambae hana kasoro.
 
Sio wote wanaonyesha dalili tangu nwanzo. Ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna malalamiko kwenye ndoa maana kila mmoja angempata ambae hana kasoro.

Hamna asiyekuwa na kasoro lkn kuna vitu hutakiwi kuvumilia sababu itakuletea matatizo...mtu ambaye mkikosana kakutupia kitu mwisho wake ndio mnakuja kuishia hivi kama sio kupeana vilema


Ww unaweza kummwagia mumeo mafuta ya moto?!
 
Wale wanaowadhuru wake zao kwa kuwasaliti huwa ni wanawake ama? Mkifanyiwa nyie ndio mnatuona wakatili..akifanya mwenzenu mnampongeza. Acheni ubinafsi ndio maana mnachinjwachinjwa siku hizi..
Huo ndiyo ukatili sasa .....mnaoufanya
Naona sahivi Mnatu Sulubu sana

Ova
 
Wanawake ni watu wa kugeuka any time!syo watu wa kuwaweeks mdhamana hata Siku moja

Ova
 
Hamna asiyekuwa na kasoro lkn kuna vitu hutakiwi kuvumilia sababu itakuletea matatizo...mtu ambaye mkikosana kakutupia kitu mwisho wake ndio mnakuja kuishia hivi kama sio kupeana vilema


Ww unaweza kummwagia mumeo mafuta ya moto?!
Siwezi.. na muacha mchana kweupe, wenye dyudyu mpo wengi.
 
Back
Top Bottom