Kisa mchepuko amuua mumewe kwa mafuta ya moto

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,929
Reaction score
37,784
Baada ya kugundua mume wake ana mchepuko amvizia akiwa bafuni anaoga na kumwagia mafuta ya moto yaliyo sababisha kifo chake.

Siku hizi trend ya wanawake kuwamwagia waume zao maji ya moto au mafuta ya moto imekuwa kubwa sana..It is as if dunia sasa inatawaliwa na majini wa moto.

Anyways ushauri wangu ...Kama unajijua una michepuko piga marufuku suala la upikaji au uchemshaji wa kitu chochote nyumbani kwako..muwe mnakula hotelini ..

Pili huduma ya kwanza kwa MTU aliyemwagiwa maji au mafuta ya moto.

1. Paka asali mbichi kwenye maeneo yaliyo athirika

2. Paka powder ..Ni tiba mujarabu sana ambayo inasaidia kukausha vidonda na kurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida.

3. Chukua manyoya ya sungura yaunguze hadi yawe majivu halafu yapike na mafuta ya kula kisha yahifadhi kwenye chupa .yaweke sehemu ya karibu au uwe unatembea nayo muda wote ..ikitokea umemwagiwa maji au mafuta basi haraka haraka jipake dawa hiyo .
Ni tiba mujarabu sana na itasaidia kuponyesha majeraha ya moto na kurudisha ngozi katika hall yake ya kawaida bila kuacha makovu.

Kingine uwe unatembea na pain killers muda wote cause maumivu ya maji au mafuta ya moto si ya dunia hii.

Kama utashindwa kuzuia upikaji nyumbani kwako basi usigombane na mkeo akiwa anapika jikoni au vitu vikiwa vinachemka ..Kuwa makini sana na nyendo za mkeo akiwa anapika..
 
Attachments

  • FB_IMG_1531892278640.jpg
    FB_IMG_1531892278640.jpg
    22.5 KB · Views: 133

HUYO MWANAMKE KWA VYOVYOTE NI MNYATURU TU.
 
Back
Top Bottom