Kisa kilichonitoa machozi wakati nipo Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa kilichonitoa machozi wakati nipo Mtwara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Oct 17, 2010.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  KISA KILICHONITOA MACHOZI WAKATI NIPO MTWARA.  Kwa wale wakazi wa Mtwara,mtakuwa mnaijua vizuri ile barabara itokayo pale Ligula Hospitali inashuka chini kuelekea kwa Jionee, Cocobeach,TTC mpaka kiyangu, hii ni barabara kubwa na ina nzuri kwani ina kiwangi kizuri cha lami. Ukifika pale kwa jionee kuna junction, ile barabara inayoelekea CHUNO, na hapa ndipo kisa hiki kimelalia.

  Hii barabara ilikuwa ipo kwenye service, labda inawezekana ukweli kwamba kipindi hiki cha uchaguzi mara nyingi barabara za huku mtwara nyingi zinafanyiwa marekebisho. Sasa Muhandisi wa hii barabara(Contractor) ni kijana flani wa makamu(miaka 35-40) simfamu kwa jina ila tu nikimwona mwona na wafanyakazi wengine wa barabara hii wakijishughulisha kuweka lami hii barabara.

  Hivi majuzi huyu bwana, alitokea kumpenda(sidhani kama ni kumpenda au ni hulka ya mwili) mdada flani(jina nalihifadhi) ambae amepanga nyumba flani inatazama na hii barabara. ifahamike kwamba huyu dada alikaa zaidi ya miaka miwili hospitali na ni mwasirika wa VVU, na still anaendelea kutumia ARV kusogeza siku mbele, na hapo mtaani watu wote kama sio wengi wanamfamu vizuri tu huyu dada. Ikumbukwe kipindi cha nyuma miaka ya 2000 huyu dada kutokana na uzuri wake alikuwa 'matawi ya juu' sana!

  Huyu Contractor bila kujua hilo(ni mkazi wa Dar) akaja siku hiyo pale kwake akamtongoza wakakubaliana, akalala nae.

  Siku ya pili huyu bwana akaja tena, akanunua soda, akaket mduleni akaanza kunywa. Bahati nzuri mama mwenye nyumba siku hiyo alikuwepo pale na huu 'mchongo' alikuwa keshaupata. Basi yule mama nae akaenda kukaa na yule baba pale mduleni, na 'akamchana live' kwamba ulyefanya nae ngono jana ni muathirika ana UKIMWI......

  Yule baba alivunja ile soda aliyekuwa anakunywa palepale, akaanza kulia na kutoa michozi huku akisema kwa uchungu kwamba alikuwa hakujua hilo, mbaya zaidi alisema kwamba kabla ya kukutana nae alienda duka la jirani kununua Condomz, lakini yule dada alikataa katakata kutumia kondom nna jamaa akaziweka kando....kikubwa zaidi wakati analia akisikika akisema kwamba ana mke na watoto, na hajui atamwambia nini mke wake akirudi huko Dar.

  Baada ya siku mbili kupita tangu ule mkasa niliona magari ya mchanga yakija na kuanza kusomba zile changarawe ambazo ilibidi zitumike kwenye ile barabara na mpaka sasa hivi hii barabara ina changarawe zenye vumbi na ule uji wa lami haujawekwa bado, nilijaribu kuwauliza wale jamaa wakiopaikiza changanrawe kulikoni walisema yule contractor kaenda Dar es salaam..sasa sikujua kwamba mkataba kaukatisha au ilikuaw vp wameiacha hii barabara na vumbi lake...Imenisikitisha sana hii taarifa.
  source:http://erwinsizinga.blogspot.com/
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hii stori kama igizo vile, lakini likikutokea wewe sasa utajiona kama vile unaota leh!! wakuu tuweni makini
   
 3. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ni kweli inasikitisha isee.....................!
  dada anaua makusudi kabisa.....................!
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  dawa ni kutokufanya ngono kabisa kama huna uhakika na status ya kiwanja unachotaka kuchezea.

  Mie nakumbuka nilishawahi kumtokea dem ambapo tulipochojoa tuanze mamboz akaniambia kuwa yeye ni mwathirika. walah sikustuka wala nini nilimfariji kwamba kama anajisikia kungonoka nami am ready. walah nilimfukunyua mpaka basi ila mpaka leo sijapata hiyo dudus na ni 8yrs back tangu tukio linitokee na sikufanya naye mara moja pekee. dem alikuwa mtamu na anatamanisha kuanzia nje mpaka ndani

  Tumieni kinga mkiwa ktk ishuz za infidelity jamani ebo!
   
 5. C

  Chamkoroma Senior Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli Jamvi hili nishule na dira ya jamii, ninapenda kukushukuru sn ndugu kuleta msiba huu ambao jamaa na vijisent vyake akaona kinag'ara kumbe "kunda mang'onyo" yaani matunda ya mkuyu ni mazuri ukiyaangalia lkn ndani kunafunza kwahiyo usipapatuikie utakula sumu, maisha ni bora kwa ajili ya watoto na si sisi wenyewe maadamu tunategemewa.
  Jamani bado UKimwi ni tishio kwa jamii yetu,
  Be carefull for your future.
   
 6. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Father X-mass heshima mbele. Natofautiana na wewe kidogo. Huyu jamaa asingemtoongoza yule mdada hayo yote yasingemtokea. Angendeleea kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake. Huyo dada kwa mtazamo wangu hana ubaya wowote bali wanaomtongoza ndio wanatafuta matatizo.
  Cha msingi kama umeoa kuwa mwaminifu kwenye ndoa yako na kama hujaoa subiri mpaka utakapooa ndivyo maandiko yanavyosema.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  gonga thanks pale juu kama vipi
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  huyo baba kakurupuka bure...si lazima ukitembea na mgonjwa wa ukimwi ndio unaupata siku hiyo hiyo...ni mbaya alivyofanya maana anaonekana ni kipanga macho juu juu but cha muhimu angeenda kupima afya yake....ni watu wengi sana huku mitaani tunawaona ambao wameshiriki ngono na wathirika lakini wao ni wazima wa afya....ukimwi ni zaidi ya tuujuavyo....si kama tunavyoufikiria

   
 9. m

  matambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo unataka kusema huyu atakuwa kapata virusi vya ukimwi kwa kiherehere chake kama JK anavyodai?
   
 10. m

  matambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ukimwi sio katili kiivyo,,mara moja tu?:nono:
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ngoja niwaambieni..huyu dada ni ''muuaji'' kiufupi,alicheze sana kipindi cha 'balehe' yake,labda kwa sababu ya uzuri wake. Wakati yupo hospitali manesi walikuwa wakisema aliruhusu kuingiliwa nje ya maumbile na kusababisha kupigwa 'bomba' na ikafikia hatua kwamba sehemu kubwa ya viungo vyake vya ndani(utumbo) vimeshaharibika, na isitoshe miguu yake imeshapoteza nguvu(haina balance), ni juzi tu alianguka kwenye ngazi za kupandia bafuni na kusababisha mguu wake mmoja kuvunjika na tayari keshawekwa kopa(POP). Na yule daktari aliyemtibu huo mguu alikuja kumuangalia pale home kwake na baadae aliwaambia wapangaji wengine kwamba eti wakati anamweka kopa alikuwa anamtega kumshikashika' wakati yeye(dokta) ndiye aliyekuwaw anasupply ARV kwa huyoo dada. Isitoshe siku moja mtoto kiume wa mama mwenye nyumba aliitwa chumbani kwa huyu dada ili amkrekebishie TV yake,akampa na bia moja, jamaa akawa anakunywa, bia ilipofika nusu yule dada akaanza kumtega kumkumbatia n.k. Jamaa kuona hivyo akaruka na kuondoka zake. Baada ya masa kadhaa kupita jamaa akarudi amelewa na akaanza kumtusi yule dada ikawa kama kuna ugomvi hivi....so huyu dada anafanya makusudi kuwafata wanaume ilhali anajua yeye ni mgonjwa. Sina uhakika kama huyu Contractor alimtongoza au huyu dem alimtega na jamaa akaingia kichwakichwa...
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  dah...kumbe wewe unamfahamu live......kwa nini hamumshtaki kwa kueneza gonjwa makusudi
   
 14. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  As I know ni kwamba "Aids does not Kill its Customers". Kama huyo mkandarasi alikuwa ni kiwembe hata hawezi kuwa amevipata hivyo virusi.
   
 15. s

  schulstrasse Senior Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Please people tuache masihara, hii kitu ukimwi ipo. Kwa wale tunaosafiri sana kikazi inabidi tuwe makini manake unaweza jikuta maisha yako yote umeyabadilisha kwa starehe ya nusu saa na kahaba, manake ukiwa na ukimwi inamaana maishayako yanabadilika kwa aslilimia100%, think of ya wife, children and ya self.Nampa pole kaka lakini asijali labda hakuchubuka sana so anaweza kuwa salama.
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Duh! kwa nini alicheat??:dance:
   
 17. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  namsikitikia zaidi mke we na watoto,sijui atamkinga mkewe au ndio atajifanya hakuna lililotokea aendelee kama kawaida.yaani mtu unaolewa unajituliza lkn unaweza kuletewa maradhi humo humo ndani pamoja na kujituliza zako.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  leh!! hili nalo neno
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ndio maana yake!
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Tatizo kuna myth kuhusu mtwara. Eti wanawake wa huko ni balaa kwa kungonoka na wala hawana gharama. Sasa jamaa ndo akajua kapata. Nadhani alitaka kuandaa list ya makamuzi ya huko na kwa bahati mbaya list ya ngoma ikamuongeza
   
Loading...