Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,793
- 21,707
- Thread starter
- #101
Q Chief alianza kupotezwa na Ruge kipindi hicho wameenda kufanya show kama sikosei Mwanza ilikuwa.Media moja imtafute doto wa Rashid
Anaenda kama Katwila nae aanze kulaumu wasanii wenzake
Wasanii wamefanya show ,Ruge akasema kuhusu pesa yao ya show wasubiri hatowalipa siku hiyo, Chila akaona sio kweli akamzaba kibao Ruge ,basi baada ya hapo Ruge akamfungia vioo mazima Chila na huo ukawa mwanzo wa Chila kupotea kwenye gemu.