Tetesi: Bifu la lady jaydee na Ray C

warumi

R I P
May 6, 2013
16,218
18,440
Hivi lile bifu kati ya ma legendary kwenye mziki wa bongo fleva, rehema chalamila aka Ray c pamoja na commando lady jaydee liliishia wapi? natamani kuona collabo kati ya wasanii hawa wawili waliowahi kutamba enzi hizo kwenye muziki wa bongo fleva
 
Utawagharamia studio
 
Subiria kidogo jide amalize kazi aliyo anza ndo mengine yatafwata. Hata mm natamani kumuona Ray c akivuma tena
 
Haaa Ray C anaomba msaada wadau wamsaidie anataka Kuamka.. ila mazingira yake magumu
Na yeye anataka kuamka tena?? ahahaha ahahaha yule kashazimia binamu kuamka sio leo, halafu ray c alikua mkali sana kwa mauno enzi zake ,jide alikua haoni ndani, tatizo mauno yake kayatumia vibaya kaishia kuwakatia akina mwampamba na yule aliyemfundisha kula unga matokeo yake kayaona
 
Ukiona ivyo basi Jide shujaa....miaka iyo mpaka leo akitoka bado tunamuelewa!!! Sio kazi raisi basi...
 
warumipost: 15672366 said:
Si angeomba collabo na jide waamke pamoja, naona ray c kalala usingizi wa pono

Unacheza na ile midude mpaka ije kuisha kabisa mwilini sio mchezo usingizi lazima.
 
Na yeye anataka kuamka tena?? ahahaha ahahaha yule kashazimia binamu kuamka sio leo, halafu ray c alikua mkali sana kwa mauno enzi zake ,jide alikua haoni ndani, tatizo mauno yake kayatumia vibaya kaishia kuwakatia akina mwampamba na yule aliyemfundisha kula unga matokeo yake kayaona
Nafikiri pia kuwa na management ni muhimu sana kwa msanii but i don't think kama ray c has got management pia sidhani kama amekwishapona yale mambo yetu yale....
 
Back
Top Bottom