Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Bifu lilianzia baada ya hii interview aliyofanyiwa Chid Benz ,Chid alishauri Lady Jaydee akaimbe Gospel miaka miwili akae sawa ndipo arudi tena kwenye bongo fleva .
View attachment 2843396
Sasa lady Jaydee aliona kama hii dharau fulani hivi akajibu mashambulizi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 2843397
Ikumbukwe Lady Jaydee na Chid Benz walishawahi kuwa na bifu miaka hiyo ya nyuma mpaka ikapelekea Lady Jaydee kumfuta na kufuta verse alizofanya Chid Benz kwenye video ya wimbo wa UPO JUU japo si Chid wala Lady Jaydee aliyejitokeza kujibu sababu haswa ilikuwa ni Nini japo habari za chini chini inasemekana Chid akimtongoza Lady Jaydee,Lady Jaydee akaona kama kavunjiwa heshima na Chid ukizingatia amemuacha kiumri mbali sana.Lakini wengine wanadai Chid alimvimbia Lady Jaydee kuna baadhi ya gharama za ziada alikuwa anahitaji ikiwemo nguo za kushutia video,nauli nk maana kipindi hicho alienda Kenya kwenye show ,,Jide akaona isiwe shida akamfuta.

Twende kazi,

Ikumbukwe pia Chidi siku za hivi karibuni amekuwa mtu wa malalamiko kila kukicha akilaumu wasanii wenzake kutomsaidia, mara amlaumu Diamond anarudisha wasanii wenzake nyuma maana anapenda kusujudiwa ,mara amlaumu Manara nk

Tazama moja ya video yake hapa chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2843405View attachment 2843406

Sasa ghafla bin vuuuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚naona Ray C katoka huku mafichoni kaja kununua ugomvi kana kwamba ujumbe wa Lady Jaydee ulikuwa unamuhusu yeye.

Ray C akarusha kijembe kwa Jide kwamba heri ya yeye mla unga lakini amezaa kuliko Jide ambaye ni tasa.

Tazama hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 2843408

Baada ya hicho kijembe Cha Ray C ,Jide akaja tena kujibu mashambulizi .

Tazama tena ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 2843410

Mashabiki nao hawakuwa nyuma ,wametoa nao michango yao.

Tazama ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2843411

View attachment 2843413

Ikumbukwe bifu la Jaydee na Ray C lilidumu kwa muda mrefu kipindi hicho sababu kuu inayoaminika na wengi ilikuwa kugombania kuwa juu kila mmoja kuona yupo juu kuliko mwenzake.

Baadaye hilo bifu liliisha na wakafanya wimbo wa pamoja unaoitwa Namlaumu kama sikosei.

Wakawa marafiki kimtindo na kushirikiana mambo mbalimbali kutembeleana nk.

Tazama hapa picha Yao ya pamoja.


View attachment 2843414

Tunangojea majibu kutoka kwa Ray C tuone atajibu nini, tupo standby๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Ungetumia akili hii ku analyse mambo ya siasa, wewe ni bonge la mwandishi, very good, detailed analysis......

Short, but clear ingawa sijawahi jua chochote kuhusu yeyote, nimejua history, current status na what to expect.
 
Hii ni miezi mitatu nyuma!


Tusirudi nyuma ambako najua ray C hajawahi kumfikia Jide Kwa lolote. Nitajie international awards ambazo huyo ray C aliwahi kuwa nominated tu.


Mimi naanza na JIDE Kora awards


Jide aliwahi kumiliki band iliwahi kuwa na show back to back sio Tanzania.


Unasema Jide sio jeshi la mtu mmoja au umekuja mjini juzi. Kafuatilie sababu za Jide Kusema Ruge akifa hatfika mwenye msiba wake na yeye Jide akifa Ruge asifike kwenye msiba wake View attachment 2843787
Unazungumzia band na nyimbo za juzi ...kwanza tumia akili Ray c alikuwa na swaga kitambo ni mtoto wa mjni anajua kucheza na video ,jaydee bado ni mshamba kwa Ray c huo ndio ukweli.

Katika level za mziki Ray c alikuwa moto hata wasanii wa kike walikuwa wanampenda kama role model wao .
 
Ray C ana ngoma kali inaitwa "unanimaliza" aliitoa around 2017 ila haiku-hit lakini ni bonge la ngoma. Video yake ame-act msanii Rammy Galis.

Sikujua kama hawa watu wamewahi kuwa na beef labda nilishasahau.

Ukiwa-compare wote wawili, JD ana hit song nyingi kuliko Ray C. Kuna siku clouds walipiga karibu song zote alizoimba JD sikuamini kama ana nyimbo nyingi sana alizoimba.

Wote wawili wameshafanya collabo na Rashid.
Hao bifu lao la muda mrefu sana.
 
RayC naye amejishtukia tu. Mbona jide ni rafiki mkubwa tu wa TID ambaye naye ashatumia madawa. imenifanya niingize spotify kusikiliza nyimbo za jide
Aishwarya Rai kaachika huko kwa Abhishek ,umesikia?

Sababu kuu inasemekana Jaya Batchan amechangia kwa kiasi kikubwa ,Aishwarya na Jaya walikuwa na mgogoro kwa muda mrefu uliopelekea wasisemeshane mtu na mkwewe kwa muda mrefu.

Hivyo ikawa ngumu kwa Abhishek achague aegemee wapi kwa mke au mama yake mzazi.

Ikumbukwe pia, chaguo la Aishwarya kwa kiasi kikubwa ilichangiwa na Amitha Batchan ,Amitha hakutaka mwanaye amuoe Karisma Kapoor ,familia hizi mbili hazikuwa na maelewano mazuri hivyo Amitha akaongea na familia ya Aishwarya mwanaye amuoe Aishwarya
 
Bila shaka wewe ni hiki kizazi cha 2000.
Jay dee hana ukongwe huo toa porojo zako anatoka hapa watu washafanikiwa ,anajikomba kwa malengend wakina sugu na professor j.

Ray c anaenda kushoot video london huyo jaydee bado anashoot video na nguo za mtumba ,wewe ulimpenda kwa vile ulikuwa upo kijijini kwenu basi huku mjini hakuwa na swaga.
 
Back
Top Bottom