Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 42,509
- 124,192
Dah! Enzi za boom elfu 8 si juzi tu hapa! Na sisi wa enzi za boom elfu 2 na 500 tutasemaje sasa!Hizi starehe ni za lini? Mana mm ilikuwa enzi za boom Elfu 8 per day likitoka tunaenda kulimalizia pale ambiance sinza. Mabroo zetu wakawa wanatucheka eti starehe zetu zilikuwa hazifikii enzi za kwa macheni na kili time. Boh
Enzi hizo daladala pendwa za Mwenge Mbagala, Kivukoni Mbagala, Gongolamboto Kivukoni, nk ni Toyota DCM.
