Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

Na hili linadhihirishwa na kumkumbatia Lowassa,ni somo tosha tu kuwa sio watu wa kucheka nao hata dakika moja.
Hivi huyu Lowassa ni nani katika nchi hii, ambaye pamoja na kuitwa fisadi mkuu, lakini bado yupo huru katika utawala unaopambana na ufisadi?

Kimantiki, si alipaswa awe angalau ashafikishwa Mahakamani?

Ebu ni-enlighten chifu..
 
Hivi kwa akili zako unaweza ukaombea mpuuzi mmoja
uache Rais wa Taifa zima!!
Naona kwanza bado wana lipa kichwa hili gazeti
lilipaswa kufutiliwa kabisa kwenye uso wa Dunia

MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA NINAKUOMBA KWA MOYO MKUNJUFU UMJALIE MASHA MAREFU HUYU MTUMISHI WAKO ALIYEANDIKA MANENO HAYO HAPO JUU ILI AENDELEE KUUTETEA NA KUFUNDISHA UKWELI NA HAKI NARUDIA TENA MUNGU AKUBARIKI KWA KUSIMAMIA HAKI NA SIYO UNAFIKI WA KUSHABIKIA UPUMBAVU NA UJINGA WA GAZETI LA MWANAHALISI NA MMILIKI WAKE SHETANI KUBENEA AMBAYE AMEJKABDH KWA SHETAN NA KUTAKA KUUPOTOSHA UMMA WA WATANZANA KWA KUTUMA GAZETI LAKE KUMBE SASA NIMEGUNDUA NI KWA NINI ALMWAGIWA TINDKALI MSHENZI YULE.
 
mkuu we kweli unajitambua ningekuwa na mamlaka ningekuban maana unatakiwa uwe fb wewe uwezo wako wa kufikir ni mdogo sana
Sawa uwezo wangu mdogo ila usini ban,ila pingana na mimi kwa kushindana na serikali,anza na kuandamana tu,anzisha movement yoyote ya kelele zozote mtaani kwenu,waje FFU wakutengue kiuno ukaugulie halafu urudi hapa uelezee u GENIOUS wako hapa.Shwein.
 
Hivi huyu Lowassa ni nani katika nchi hii, ambaye pamoja na kuitwa fisadi mkuu, lakini bado yupo huru katika utawala unaopambana na ufisadi?

Kimantiki, si alipaswa awe angalau ashafikishwa Mahakamani?

Ebu ni-enlighten chifu..
Kwahiyo kwasababu kuna majambazi mengi ambayo yapo jela baada ya kupelekwa mahakamani,tuamini mtaani hakuna majambazi sababu hayajakamatwa na kudhibitishwa?,hivi huwa mnatoa wapi ujasiri wa kumtetea Lowassa wakati viongozi wenu wote walisema hadharani EL ni fisadi na ushahidi wanao na video zipo Youtube???,au ndo maana mlipewa lile jina la wanyama wa Serengeti??
 
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
We mjin.ga wa mwendokasi.kutafuta sifa kivipi??lisu sifa anazo tangu akiwa vipaji maalumu ILBORU SEC.we umesoma wapi??
 
Sasa Lissu si ndie aliepigwa risasi na kasema anawafahamu.?
Mkuu ilikuwa ni siku ya tatu Lissu yupo hospitali huyu jamaa kaanza na kuongopa kanisani kwa Gwajima kuhusu hayo maneno,kesho yake katoa front page ya mwanahalisi,wakati huo hata kumuona Lissu alikuwa haruhusiwi mtu,hata chakula alikuwa analishwa kwa mirija,aliongea saa ngapi?
 
Hapo nimekuelewa..lemme connect dots
 
Mkuu naheshimu mawazo yako na nakupa heko kwa kujaribu kuwa neutral.Kwanza JPM asingeweza kupiga kelele zozote kuhusu madini akiwa waziri wa kawaida,matokeo yake CCM wangeogopa hata kumpitisha kugombea kiti cha uraisi.Na huyu Lissu siku zote ambazo anaita media au kwenye tweeter zake hakuna siku hata moja amewahi kukubali au kupongeza jambo lolote alilowahi kufanya JPM,hii inakupa picha gani?,wewe mbona kuna mahali hapa umekubali mazuri au nia nzuri ya JPM?.. hii haikuwahi kuwepo kwa Lissu,,kuhusu kupigania madini huko nyuma,sote tunakubali alikuwa mpiganaji mzuri,sasa tulitegemea kipindi hiki aungane na serikali huku akitoa maoni kistaarabu namna ya kuendeleza mapambano,.,hivi mtu akikutishia TUTANYOLEWA KWA CHUPA,unapata picha gani?,mtu anaposimama mbele ya vyombo vya habari akasema tuna SERIKALI YA OVYO inaleta picha gani? serikali ya ovyo unamaanisha Jeshi la ovyo,polisi ovyo,magereza ovyo,mahakama ovyo,na taasisi zote za serikali ovyo.,hii ni SAWA?,.Katika wanasiasa na wanaharakati wote wa dunia hii ukianzia na akina Nyerere,Sokoine,Mandela,Kwame Nkhuruma,Odinga na wengine wote,nipe mfano wa aliyekuwa na lugha kama za Lissu aliyepata mafanikio na kufika mbali?,tatizo hamtaki kukubali Lissu alizidiwa na jeuri na kitu inaitwa kujifanya ni mjuaji sana pengine kuliko mwanasiasa yeyote TZ na nyie mkawa mnampamba kumtia ujinga.

Nakubaliana kabisa na wewe, je kumpiga risasi ndio ilikuwa adhabu stahiki? Lissu ni jeuri na hilo halina ubishi, ila kumbuka kila mtu ana madhaifu yake. Mimi sio mara moja au mbili nimesema Lissu anaongea lugha za kejeli lakini hana tofauti na Magufuli tofauti yao mmoja ni rais na mwingine ni mbunge. Hizo lugha alizoongea Lissu ni lugha za kawaida kabisa za wanasiasa, ni nani hakusikia na kuona kesi alizofunguliwa Lissu kuhusu utetezi wake kwenye madini? Kama Lissu aliumizwa na kudhalilishwa kwenye utetezi wake wa madini na Magufuli akiwa ndani ya watesi hao, utamkatazaje Lissu kupiga madongo apendavyo watu waliokuwa wanafanya siasa ya dhahiri na kumtesa yeye alipokuwa kwenye mapambano? Je Watanzania wamewahi kuwapiga risasi hao waliongia hiyo mikataba ya wizi? Kuna yoyote aliyefungwa kwa kuingia mikataba hiyo?

Tukubali tukatae kwa hili la kupigwa Lissu risasi ni kuvuka mipaka, na ni moja ya siasa za hovyo hata mtu ukijivika uzalendo wa aina gani. Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga risasi wakati watu wangeweza kutenda kazi zao na kumpuuza tu? Kuna tabia huwezi kuzibadili hata ufanyeje bali kuzipuuza tu. Mfano mrahisi JK alikuwa anasafari sana mbali ya kelele za hali ya juu, je aliacha kusafiri? Kuna mtu alimpiga risasi wakati alikuwa analitia taifa hasara kwa safari zake? Mfano mwingine leo hii Magufuli anaongea lugha za kejeli na jazba za wazi, unadhani haoni kwamba watu wanakerwa na tabia hiyo? Je umeona mtu wakimpiga risasi zaidi ya watu kumpuuza? Haya tuseme Lissu sio mzalendo kwa kukashifu hiyo approach ya Magufuli kwenye madini, je tuna uhakika gani approach yake ya sasa ndio itatufaidisha kwenye sekta ya madini? Kumbuka tunachimba tukawauzie wazungu, je wakiamua kutokuyanunua tutakuwa tumefaidika na nini? Au unadhani Tanzania tu ndio yenye madini na hakuna nchi nyingine zenye madini dunia hii? Haingii akilini ukae serekalini zaidi ya miaka 20 useme eti ungepiga kelele ungekosa madaraka kisha ukae kimya wakati tunaingia hasara mpaka uwe rais. Je watanzania wote sasa hivi tukisubiri tuwe marais ndio tuonyeshe uzalendo tutatoboa?
 
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
Kumbukeni lkn hamtakuwa huko milele.
 
Hapo nimekuelewa..lemme connect dots
Jumatatu tarehe 11-Sept. MWANAHALISI wakati huo Lissu anahudhuriwa na madaktari tu.
 
Attachments

  • FullSizeRender_14.jpg
    FullSizeRender_14.jpg
    43 KB · Views: 34
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???

Mandela na nyerere walipambana serikali ya dunia ipi mzee au ndo miaka tofauti ndo sababu
 
Nakubaliana kabisa na wewe, je kumpiga risasi ndio ilikuwa adhabu stahiki? Lissu ni jeuri na hilo halina ubishi, ila kumbuka kila mtu ana madhaifu yake. Mimi sio mara moja au mbili nimesema Lissu anaongea lugha za kejeli lakini hana tofauti na Magufuli tofauti yao mmoja ni rais na mwingine ni mbunge. Hizo lugha alizoongea Lissu ni lugha za kawaida kabisa za wanasiasa, ni nani hakusikia na kuona kesi alizofunguliwa Lissu kuhusu utetezi wake kwenye madini? Kama Lissu aliumizwa na kudhalilishwa kwenye utetezi wake wa madini na Magufuli akiwa ndani ya watesi hao, utamkatazaje Lissu kupiga madongo apendavyo watu waliokuwa wanafanya siasa ya dhahiri na kumtesa yeye alipokuwa kwenye mapambano? Je Watanzania wamewahi kuwapiga risasi hao waliongia hiyo mikataba ya wizi? Kuna yoyote aliyefungwa kwa kuingia mikataba hiyo?

Tukubali tukatae kwa hili la kupigwa Lissu risasi ni kuvuka mipaka, na ni moja ya siasa za hovyo hata mtu ukijivika uzalendo wa aina gani. Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga risasi wakati watu wangeweza kutenda kazi zao na kumpuuza tu? Kuna tabia huwezi kuzibadili hata ufanyeje bali kuzipuuza tu. Mfano mrahisi JK alikuwa anasafari sana mbali ya kelele za hali ya juu, je aliacha kusafiri? Kuna mtu alimpiga risasi wakati alikuwa analitia taifa hasara kwa safari zake? Mfano mwingine leo hii Magufuli anaongea lugha za kejeli na jazba za wazi, unadhani haoni kwamba watu wanakerwa na tabia hiyo? Je umeona mtu wakimpiga risasi zaidi ya watu kumpuuza? Haya tuseme Lissu sio mzalendo kwa kukashifu hiyo approach ya Magufuli kwenye madini, je tuna uhakika gani approach yake ya sasa ndio itatufaidisha kwenye sekta ya madini? Kumbuka tunachimba tukawauzie wazungu, je wakiamua kutokuyanunua tutakuwa tumefaidika na nini? Au unadhani Tanzania tu ndio yenye madini na hakuna nchi nyingine zenye madini dunia hii? Haingii akilini ukae serekalini zaidi ya miaka 20 useme eti ungepiga kelele ungekosa madaraka kisha ukae kimya wakati tunaingia hasara mpaka uwe rais. Je watanzania wote sasa hivi tukisubiri tuwe marais ndio tuonyeshe uzalendo tutatoboa?
Sure, you are great Thinker
 
Back
Top Bottom