DCI Kingai, aliyosema Lissu alikwishasema Hayati Magufuli kama Rais

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,222
Kama tunaambiwa kauli ya Rais ni sheria basi haya yaliyomfanya DCI Kingai kumuita Lissu yalisha wahi kusemwa na Magufuli kuhusu kusaini mikataba kijinga.

Kwa hiyo Lissu alikuwa anarejea kauli ya Rais Magufuli kuwa akili za yeyote anayeweza kupitisha mikataba mibovu kama huu ni za kijinga hivyo ni sawa na matope.

View attachment 2695033
Upepo wa kisiasa sasa unabadilika, aliyekuwa anadaiwa shetani, muuaji na dikteta uchwara sasa ni malaika.

Kwenye kampeni za Chaguzi za kitaifa zijazo tutasikia mengi kuhusu mwendazake
 
Brother, watu wanasimamia ukweli tuu. Magufuli pale alipofanya yenye manufaa kwa nchi anapongezwa na hakuna ubaya kwenye hilo.
Lakini pia mambo yake aliyotenda kidikteta au unconstitutional yataendelea kulaaniwa kwa nguvu ileile ili asije tokea kiongozi mwingine akaiga upuuzi huo.
Ni wajinga tuu ndio wanaofikiri kuwa mtu akitenda jema moja linafuta maovu yote ya awali
 
Kama tunaambiwa kauli ya Rais ni sheria basi haya yaliyomfanya DCI Kingai kumuita Lissu yalisha wahi kusemwa na Magufuli kuhusu kusaini mikataba kijinga.

Kwa hiyo Lissu alikuwa anarejea kauli ya Rais Magufuli kuwa akili za yeyote anayeweza kupitisha mikataba mibovu kama huu ni za kijinga hivyo ni sawa na matope.

View attachment 2695033
Halafu wanaopiga makofi walimuita nabii,mbeba maono,mtetezi wa wanyonge etc.......Lakini leo ndio hao hao wanapanga kuandamana kumshukuru Samia kwa KUUZA BANDARI YETU BILA WOGA WOWOTE.......UVCCM mungu anawaona
 
Lissu punguza makali, tutaongozwaje na mtu aliyejaza matope kichwani? Nasi matope yamejaa kichwani tukaamua kuchagua aliyejaza matope kuliko sisi.
 
Nani alimchagua nani? Usitake turudi huko maana ndio kauli ya Lissu itazidi kupata uhalali
 
Back
Top Bottom