Kisa Cha Mmbongo Na Mzungu

kikafu

Member
Feb 12, 2008
13
0
Kuna mmbongo mmoja alienda ulaya na kwa bahat mbaya kingereza alikua hajui ila akapata rafik mzungu aliyeitwa Mlumbwende,ck moja walienda kuoga na huyo rafik yake kwa bahat mbaya rafik yake mzungu akamezwa na papa,akaja mzungu akamuuliza yule mmbongo kama ifuatavyo:
mzungu: where is mr Mlumbwende?
Mmbongo: akafikiria kisha akaanza,Mr Mlumbwende is tumbukila majiota,likaja limpapa likamkatila la katikati,mr mlumbwende is finish kufulukuta.
maana yake ni kua jamaa kamezwa na papa na kafa
Hii inaziirisha ni kias gan wabongo no wasanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom