Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

ANGALIZO :
MIMI NASIMULIA KISA KILIVYOKUWA SUALA LA WEWE KUAMINI AU KUTOKUAMINI HALINIHUSU. SIKULAZIMISHI UAMINI.

Na mdada mwenyewe ameumbika hasa.hips na makalio ya kutosha....

Yule dada alisimulia akitokwa na machozi maana anasema miaka yake yote hakuwahi dhani kuna siku atafanya kinyume na maumbile.lililomtesa ni kuwa zile ndoto alikuwa anaota na anakuja kukutana na matokeo yake asubuhi.akimuota mzee yule yule ambaye alimkataa.

Wakashauriana na rafikiye kuwa waende kwa ustaadhi. Yule mwenzie alimwambia kwa Zanzibar michezo hiyo ipo sana si jambo geni kiasi hicho. Kipindi hicho huyu dada alikuwa na boyfriend wake dar.anasema hakuweza mwambia jambo hilo aliona kama lingeleta shida.so akafanya siri.

Siku wakakubaliana kuelekea sehemu moja mbali na mji kidogo kuna ustaadhi aliyekuwa anaishi huko.yule ustaadhi aliwapokea na kumsoma huyu mdada. Anasema mzee alimwambia huyu mdada ana nyota nzuri sana ambayo ina mvuto sana. Aliwaeleza mengi akitumia vitabu na maandishi flani huku akichoma udi.

Baadaye akaenda mchukulia shanga akazifanyia dua na kumwambia azivae ila Ijumaa ijayo arudi akiwa na kitu kama shanga hizo cha kuvaa kiuoni ila this time iwe ni dhahabu.

Anasema waliondoka baada ya kufanyiwa dua.wakarudi home.yule dada anasema siku hiyo alilala bila shida.siku ya tatu aliota yule mzee amekuja. Ila this time aliungua mkono alipomshika kiunoni halafu akaanguka na kuzimia kwa muda.baadaye akainuka akaondoka.

Anasema asubuhi aliamka akiwa kawaida na akaenda kazini.jioni alikuja yule jamaa aliyekuja mchukua siku ya kwanza akisema yule mzee anamwomba aempeleke kwake wakaongee.mdada alikataa.hakwenda.kesho tena yule kijana alikuja dada akakataa.

Ijumaa waliambi baada tu ya swala wawe kwa yule mzee na ile chain ya dhahabu ya kuvaa kiunoni.

Ustaadhi aliwakuta wameshafika home.so akamwita mhusika akaenda msomea na akaichukua ile chain amaea anaisomea huku akivukiza udi/ubani.baadaye akamwambia dada akavae.

Yule dada akaingia kwenye kale kachumba akavaa ile chain.alishangaa kufeel ubaridi sana kiunoni.ilikuwa kama amevaa chain ya barafu.akapoteza nguvu akalala.ndotoni aliota yupo sehemu nzuri sana.sana.nchi imetulia peke yake kwenye jumba kubwa sana.ila yupo peke yake.alikuja shtuka amelala kwenye mkeka.

Ustaadhi akamwambia kiasi cha malipo ya huduma.kisha akamwambia kuwa from now on ile chain awe anaivaa kiunoni kama urembo.akipoteza atafute nyingine apeleke kwake au ustaadhi ambaye anasifa flani(alimtajia ) akampa na kikaratasi ambacho kingemsaidia na kitambaa ambacho alimwambia kiwe kinakaa pochini,nyumbani /ndani ya mto.zisipite siku 7 hajawa nacho au kutovaa chain.

Yule dada anasema siku ile amerudi home alilala vizuri.baada ya week ikawa sometimes anaota anafanya mapenzi but this time na boyfriend wake wa dar.

Ingawa uhusiano wake na huyo boyfriend ukawa unadorora sana.akawa hamfeel kabisa.wanagombana sana.mwishowe dada akamwambia hataki tena mahusiano naye.waachane.jamaa alishangaa sana.akabembeleza waonane dada akakataa kabisa.anasema alitokea tu mchukia jamaa.

Ila akawa sometimes anaota wanafanya mapenzi.akawa mbali sana na wanaume.ile hali hakuichukulia kama ni issue alidhani sababu ya kufanyiwa yale mambo na mzee so ameathirika kisaikolojia.

Baadaye akawa anajikuta sometimes anapoteza siku zake za period.miezi kadhaa then zinaanza tena kama mtu aliyeharibu mimba.hali hiyo ikamfanya aongee na rafiki yake. Akapelekwa kwa yule ustaadhi.

Ustaadhi akamwambir ukweli ni kuwa alimpatia ulinzi na ulinzi wenyewe ulikuwa ni wa jini(alinitajia jina) hilo litamlinda na kumsaidia kwenye jambo atakalo.akamweleza hata akitaka kuliita.afanye nini na asome nini.yule dada alichanganyikiwa.

Ustaadhi alimwambia halitamdhuru ila afuate masharti.hakuna kusex kabla ya ndoa,hakuna kunywa pombe.

Yule dada kiuhalisia anasema hapo alianza ona maisha yake yanaanza badilika sana....
Dah kaenda kwenye tiba nako kazidisha matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea.

Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari hii Jukwaa la Hbr Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.

Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi. Mnakwaza sana. Kama ngekuwa nmetunga ngeipeleka kwenye jukwaa husika iwe story.
Wamezingua all in all lengo stori yako inafunza mkuu.

Mfano. Mdada ukipata matatizo Kama hayo we nenda kwa ostadh wa halali kabisa ufanyiwe tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Part II
Nikaingia naye room. Pale chini pana bar pia na kwa kuwa mimi nlikuwa nmepita kwa washkaji tukala ugali na kitimoto asubuhi tu ile nikawa sina sababu ya kula sana. Nakumbuka nliagiza mchemsho wa kuku na chapati naye hivyo nikaagiza na grand malt mbili tukala tukanywa tukawa tumejilaza kitandani tunaangalia movie kwenye laptop.

Ktk mashine ilikuwa imesimama vizuri kabisa. Bila shida na demu ni kama alishangaa kwa mashine kusimama kama kawaida.tofauti na siku ile ya kwanza hakuonesha kushtuka.nikamla.tofauti na nlivyotegemea. Alikuwa hana utamu. Alikuwa wa baridi tu.

Nlichukua muda sana kumaliza.yeye wala hana hisia za kitendo. Nlihangaika sana kumweka sawa.sikufanikiwa. akawa tu amepoa. Tulifanya mara tatu tu tena kwa shingo upande maana last time was like nambaka. She wasnt ready kabisa.mkavu analalamika kuumia. Pamoja na kumwandaa kote hamna kitu.

Baadaye tukawa tunatoka nikamrudisha mpaka kwake. Dukani nikarudi zangu home.

Mida ya saa 2 nlianza sikia baridi kali sana ila natokwa jasho.sikuelewa mpaka saa nne nakumbuka baada ya kuangalia tamthiliya flani (kama sikosei ilikuwa days of our lives au the young and the restless ) nikaenda kulala.

Saa saba usiku nikiwa kama nipo usingizini kama nipo macho. Nikaona nageuzwa kitandani.but ni kama naota au naona live. Nlichapwa viboko sana.sana huku damu ikitoka mgongoni.nlilia sana lakini kila napojaribu kuamka nashindwa.nikijaribu kupiga kelele sauti haitoki.ila nalia sana bila kutoa sauti.

Kesho nliamka mwili unaniuma sana na mgongoni ni kama nina majeraha yanayopona.maumivu nayasikia.sikuweza mwambia mtu ni nini kilitokea.

Nikampigia simu yule dada kumsalimu.hakupokea. nliendelea kupiga simi kila baada ya muda haikupokelewa. Mpaka usiku simu haipokelewi.

Keshokutwa yake nikaenda tabata dukani.nikamkuta yule dada msaidizi kumuuliza boss wake yu wapi akajibu toka amerudi juzi alikuwa anajisikia vibaya amepumzika.sikuoneshwa nyumbani kwa yule dada. So sikuweza enda.

Siku ya tatu napiga simu haipokelewi.nikaacha. siku ya 5 nikapiga simu kwa namba ya mdogo wangu. Akapokea nikamwambia ni mimi akakata simu.

Baada ya week na nusu toka tumefanya mapenzi akanipigia simu kuwa nipange tuonane sehemu ambayo ni ya wazi isiyo bar. Nlihangaika sana nikaja pata sehemu moja hapa Sinza.akasema atakuja mwenyewe.

Nlimtajia muda then nikawahi nikaenda subiri sehemu ili nimwone anakuja na nani. Kweli hiyo mida akapiga simu nikamwelekeza akafika.mimi nmepark gari mbali kidogo namcheck. Alikuja na gari peke yake. Akaingia nami baada ya muda akanifuata.

Ndani tumekaa mdada hakuwa na furaha.amevaa nguo ndefu sana na miwani mikubwa myeusi.tukaongea mambo kadhaa.kisha ndo tukarudi kwenye jambo la msingi.nilimweleza kilichonipata hakushtuka.nlishindwa mwelewa.mimi nlimweleza nikijua ni ushirikina maana kuna mama mmoja kitaa walikuwa wanasema ni mchawi.mtu wa kigoma.but nlishangaa why that night.na home sikumwambia mtu yeyote.

Bi dada akaanza nisimulia maisha yake yalivyo.katika hali ambayo alikuwa anaonesha ameachoka na hana furaha kabisa. Akaamua sasa aniweke wazi ni nini hasa ambacho kinaendelea katika maisha yake. This day hakuwa mwenye nuru.weupe wake ulikuwa umepungua, usoni ni kama mtu aliyechoka pengine hakulala week nzima.

Anasema shida ilianzia Zanzibar...

Ntaendelea na kisa wadau naingia barabarani kurudi home.
 
Hao Moderator wanazingua wanafikiri wote tunapenda siasa wengine tunapenda mastory ya UKWELI na hata kama ni CHAI kama inavutia si twaipenda hivyo hivyo

MODERATORS ACHENI KUZINGUA
Kabsa yan vitu kma hizi vinatupunguzia mgandano wa mawazo.
 
Part III
Yule dada anasema kipindi cha nyuma alipata kazi Hotel moja ya kitalii Zanzibar (alinitajia jina ila sitoitaja kwa sababu flani) anasema alipokuwa anafanya kazi alipanga nyumba mtaani kwa mzee mmoja aliyekuwa na wake wawili.baadaye yule mzee alianza kuonesha interest kwa bidada.

Akipewa kodi anakataa anasema binti akae tu wataelewana.siku moja akamwambia wakae aongee naye wapeane ushauri.shida ikawa wataonana wapi kwa hali ya zanzibar si kama bara.na yule alikuwa mtu mzima kiasi.

Baada ya muda siku moja anatoka kazini akakuta mzee anamsubiri njiani.yule mzee akamwambia kuna sehemu wataweza kaa enda ongea ni nyumbani kwa rafiki yake. Yule dada akawa ana wasiwasi kuwa ni jambo gani nyeti hivyo.

Ijumaa iliyofuata alimwambia atakuja chukuliwa na taxi kazini huyo mwenye taxi atampeleka hapo atakapokuwepo.

Kweli mida ya saa kumi na nusu jioni ikaja gari.yule dada aliambiwa anaitwa getini.kwenda akaoneshwa taxi.akaenda ndo kuambiwa ametumwa mzee Kheri apelekwe home kwake.hao wakaanza safari haikuwa mbali sana.yule dada anasema ilikuwa wakitoka nje ya hotel wanavaa baibui.so akawa ndani ya baibui hao mpaka kwa mzee kheri.

Kule alikaribishwa na wamama wawili ambao walimpeleka sebuleni ambako alimkuta yule mzee na mzee mwingine mwenyeji.baadaye yule mwenyeji akaondoka na kuwaacha wao wawili.

Ndo yule mzee kumwambia yeye alitaka mwoa.alitaka awe mke mdogo.yule dada alishtuka sana..hakutegemea maana alikuwa anamwona yule kama mzee wake.waliongea mengi but mdada alikataa kabisa kuwa hawezi.yule mzee alimwambia akimwoa atamwachisha kazi na atampa mshahara aliokuwa akipata pale hotelini.

Yule dada hakuelewa maana mara zote alikuwa akimwona yule mzee anashinda home au kibarazani akicheza bao na karata.hakuelewa angepata wapi hizo pesa. Lakini ndipo alijiuliza kweli yule mzee alikuwa anaweza lisha familia vizuri.alikuwa akisikia mzee mwenyewe akisema ana watoto Oman na Saud Arabia.

Mdada alikataa kabisa.mzee akamwambia anampa siku 14 afikirie.ijumaa ya pili ya tatu baada ya ile ampe jibu.

Yule dada anasema siku hiyo alirudi home anawaza sana.hakuwahi tegemea.maana ni mdada mrembo sana aje aolewe na mzee. Alishangaa sana.

Kesho yake aliporudi kazini akawaambia wenzie anataka hama pale anapoishi.kweli akatafutiwa nyumba baada ya siku nne akapata.siku hiyo akarudi home amekusanya pesa ya miezi kama 4 ambayo yule mzee alikataa kodi.akamfuata akaenda mwambia kuwa anahama.

Anasema yule mzee alisikitika sana mpaka akatokwa na machozi.ila akamwambia asijali zile pesa akae nazo tu alimsaidia.bint akasisitiza sana.mzee akagoma. Basi binti akaamua aziache pale mezani.akaondoka kwenda room kwake.akasubiri gari na vijana wakaja wakabeba mizigo kuhama.

Anasema siku hiyo amehamia hiyo sehemu nyingine alilala amechoka sana.ila akaota ndoto yule mzee analalamika sana.akitaka wawe na mahusiano.

Kesho yake ameamka anazikuta pesa zake kwenye pochi.alishangaa sana maana alikumbuka pesa aliziacha mezani.alizikuta zipo vile vile hazijapungua hata shilling.

Akawa anajiuliza je alijisahau?au mzee alimrudishia kwenye pochi.but hakuwahi toka kumwachia pochi mzee.na hakumbuki kma mzee aligusa pochi.hakuelewa kabisa.akaamua kuliacha hilo.

Kesho yake usiku alipolala anasema aliota ndoto ana sex na mzee.alishtuka usingizin akajikuta amelala amebong'oa. Hilo lilimshtua sana.kukicheck k
 
Part IV
ANGALIZO :
MIMI NASIMULIA KISA KILIVYOKUWA SUALA LA WEWE KUAMINI AU KUTOKUAMINI HALINIHUSU. SIKULAZIMISHI UAMINI.

Na mdada mwenyewe ameumbika hasa.hips na makalio ya kutosha....

Yule dada alisimulia akitokwa na machozi maana anasema miaka yake yote hakuwahi dhani kuna siku atafanya kinyume na maumbile.lililomtesa ni kuwa zile ndoto alikuwa anaota na anakuja kukutana na matokeo yake asubuhi.akimuota mzee yule yule ambaye alimkataa.

Wakashauriana na rafikiye kuwa waende kwa ustaadhi. Yule mwenzie alimwambia kwa Zanzibar michezo hiyo ipo sana si jambo geni kiasi hicho. Kipindi hicho huyu dada alikuwa na boyfriend wake dar.anasema hakuweza mwambia jambo hilo aliona kama lingeleta shida.so akafanya siri.

Siku wakakubaliana kuelekea sehemu moja mbali na mji kidogo kuna ustaadhi aliyekuwa anaishi huko.yule ustaadhi aliwapokea na kumsoma huyu mdada. Anasema mzee alimwambia huyu mdada ana nyota nzuri sana ambayo ina mvuto sana. Aliwaeleza mengi akitumia vitabu na maandishi flani huku akichoma udi.

Baadaye akaenda mchukulia shanga akazifanyia dua na kumwambia azivae ila Ijumaa ijayo arudi akiwa na kitu kama shanga hizo cha kuvaa kiuoni ila this time iwe ni dhahabu.

Anasema waliondoka baada ya kufanyiwa dua.wakarudi home.yule dada anasema siku hiyo alilala bila shida.siku ya tatu aliota yule mzee amekuja. Ila this time aliungua mkono alipomshika kiunoni halafu akaanguka na kuzimia kwa muda.baadaye akainuka akaondoka.

Anasema asubuhi aliamka akiwa kawaida na akaenda kazini.jioni alikuja yule jamaa aliyekuja mchukua siku ya kwanza akisema yule mzee anamwomba aempeleke kwake wakaongee.mdada alikataa.hakwenda.kesho tena yule kijana alikuja dada akakataa.

Ijumaa waliambi baada tu ya swala wawe kwa yule mzee na ile chain ya dhahabu ya kuvaa kiunoni.

Ustaadhi aliwakuta wameshafika home.so akamwita mhusika akaenda msomea na akaichukua ile chain amaea anaisomea huku akivukiza udi/ubani.baadaye akamwambia dada akavae.

Yule dada akaingia kwenye kale kachumba akavaa ile chain.alishangaa kufeel ubaridi sana kiunoni.ilikuwa kama amevaa chain ya barafu.akapoteza nguvu akalala.ndotoni aliota yupo sehemu nzuri sana.sana.nchi imetulia peke yake kwenye jumba kubwa sana.ila yupo peke yake.alikuja shtuka amelala kwenye mkeka.

Ustaadhi akamwambia kiasi cha malipo ya huduma.kisha akamwambia kuwa from now on ile chain awe anaivaa kiunoni kama urembo.akipoteza atafute nyingine apeleke kwake au ustaadhi ambaye anasifa flani(alimtajia ) akampa na kikaratasi ambacho kingemsaidia na kitambaa ambacho alimwambia kiwe kinakaa pochini,nyumbani /ndani ya mto.zisipite siku 7 hajawa nacho au kutovaa chain.

Yule dada anasema siku ile amerudi home alilala vizuri.baada ya week ikawa sometimes anaota anafanya mapenzi but this time na boyfriend wake wa dar.

Ingawa uhusiano wake na huyo boyfriend ukawa unadorora sana.akawa hamfeel kabisa.wanagombana sana.mwishowe dada akamwambia hataki tena mahusiano naye.waachane.jamaa alishangaa sana.akabembeleza waonane dada akakataa kabisa.anasema alitokea tu mchukia jamaa.

Ila akawa sometimes anaota wanafanya mapenzi.akawa mbali sana na wanaume.ile hali hakuichukulia kama ni issue alidhani sababu ya kufanyiwa yale mambo na mzee so ameathirika kisaikolojia.

Baadaye akawa anajikuta sometimes anapoteza siku zake za period.miezi kadhaa then zinaanza tena kama mtu aliyeharibu mimba.hali hiyo ikamfanya aongee na rafiki yake. Akapelekwa kwa yule ustaadhi.

Ustaadhi akamwambir ukweli ni kuwa alimpatia ulinzi na ulinzi wenyewe ulikuwa ni wa jini(alinitajia jina) hilo litamlinda na kumsaidia kwenye jambo atakalo.akamweleza hata akitaka kuliita.afanye nini na asome nini.yule dada alichanganyikiwa.

Ustaadhi alimwambia halitamdhuru ila afuate masharti.hakuna kusex kabla ya ndoa,hakuna kunywa pombe.

Yule dada kiuhalisia anasema hapo alianza ona maisha yake yanaanza badilika sana....
 
Ujue ni kwamba
Yeye Chizi Maarifa anajua fika kuwa hii sio chai wala story za Kwenye vitabu ni kitu kilichomkuta really kwenye Maisha yake

Sasa kwanini wao wanaoitwa moderators wauhamishe walete jukwaa la sports & entertainment ?? Kwamba mkasa wa jamaa ni michezo na Burudani sio ?? Inakatisha tamaa kwake Chizi Maarifa kuendelea kumwaga mambo

Rudishen Uzi mahala husika otherwise mje na majibu hapa
Active Moderator Cookie
Maxence Melo
Humu nawaamini watu kwamba ni lever nyingine kwa uelewa. Lakini kwenye hili mnalolilia mmetia aibu wadau. Yaani mnalazimisha vya kusingizia kwamba huko kwenye sports ndio kwenye story za kijinga jinga?. Uzi kupelekwa na mod kwenye jukwaa lingine sioni tatizo lolote. Wanajamii safari mmezingua mbayaaaa,yaani mnalilia mpaka mambo ya kibwege hayo? Utafikiri kwenye jukwaa lingine ndio mnavuna pesa.
 
Relax, hakuna anaelilia kitu hapa mkuu

Of course yes kwa mtazamo mwengine ukiangalia mods wanaweza kuwa wako sahihi kufanya hilo walilo lifanya

Lakini ku'term kisa/mkasa wa Mtu as Burudani
 
Humu nawaamini watu kwamba ni lever nyingine kwa uelewa. Lakini kwenye hili mnalolilia mmetia aibu wadau. Yaani mnalazimisha vya kusingizia kwamba huko kwenye sports ndio kwenye story za kijinga jinga?. Uzi kupelekwa na mod kwenye jukwaa lingine sioni tatizo lolote. Wanajamii safari mmezingua mbayaaaa,yaani mnalilia mpaka mambo ya kibwege hayo? Utafikiri kwenye jukwaa lingine ndio mnavuna pesa.
Nini maana ya lever nyingine??? Kama lugha ya kigeni inasumbua ni vyema ukaandika tu kiswahili mkuu,

Kifupi mods wamezingua, huu uzi ilibidi uwe kwenye habari na hoja mchanganyiko au mahusiano ila sio kwenye burudani.

Na kama kwako unaona ni sawa hamna tatizo, its okay ila huwezi kuona mawazo ya wengine yanakutia aibu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake, na sio lazima wote tufanane.
 
Nadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea.

Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari hii Jukwaa la Hbr Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.

Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi. Mnakwaza sana. Kama ngekuwa nmetunga ngeipeleka kwenye jukwaa husika iwe story.
Kwani Mkuu huna Mawasiliano na Bwana Jini Bong'ozi umchomee huyu Moderator ili usiku huu amuwashie moto aache shobo na Nyuzi za watu

NB: Kama kuna gharama naahidi kuchangia nusu gharama
 
Nini maana ya lever nyingine??? Kama lugha ya kigeni inasumbua ni vyema ukaandika tu kiswahili mkuu,

Kifupi mods wamezingua, huu uzi ilibidi uwe kwenye habari na hoja mchanganyiko au mahusiano ila sio kwenye burudani.

Na kama kwako unaona ni sawa hamna tatizo, its okay ila huwezi kuona mawazo ya wengine yanakutia aibu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake, na sio lazima wote tufanane.
Kama ulivyosema hatuwezi kufanana wote. Kwa nini unalazimisha nitumie lugha unayotaka wewe kiswahili kila mahala?. Lugha ya kigeni ipi inasumbua?. Hapo umesema hujui maana yake,halafu lugha ya kigeni inasumbua. Usiulize maswali ambayo majibu unayo mwenyewe. Wewe unajua ni lugha gani nimeandika kwenye hilo neno?. Hii JF wewe mahala gani unailipia mpaka uanze kuwapangia masharti wenye hiyo App?. Kama unaona wanazingua si usepe ishia zako fb huko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom