Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
aaaa eeenh kichwa kinauma!!.. hahaaa!!
mkuu nipe list ya dada zako tofauti na huyu mreeeembo miss neddy!! hiki kitoto kina mguu sijaona! jicho baba nishapoteza milioni kwake!
kitako sasa nyuma nshauza gari babake!
hahahaaa!! hadi utagongewa kabisa wewe! ndo maana Kaizer yuko karibu sana na wewe!
miss neddyyy!!!! i think you know what to do and where!
assume ceteris paribus
kwa hiyo unataka kusema kuwa huyu mnya Ntuzu, miss neddy kwa sasa unakula mbele ya Kaizer?
hongera sana mkuu!
Hahahahahahaaaa!I wish wote wangeelewa ujumbe kama wewe.
Cc: Mashaxizo na mwekundu
BCc: Kaizer na #teamBazazi yenu ....K.K. Katibu Nicas Mtei na mtunza nini sijui Ben Mugashe a.k.a Le Mutuz
yah ndo maudhui makuu ya thread noted,
Mashaxizo unakubaliana na utetezi wa miss neddy kuwa Mentor sio bazazi
Unajua walikutana angle gani mpaka wanatoleana utetezi kama huo
\Hebu chunguza basi usikubali kubali tuu Excel una kesi ya kujibu hebu kuja faster pande hizi ujitetee kabla sijakifuta cheo chako na kukubandika cheo kingine fasta
Mr Rocky nilidhani sisi ni ndugu...ni nani amekurubuni hadi unanikana kwa vipande thelathini vya shekeli?
Mashaxizo nashukuru ndugu yangu nami nangojea neno la mwekundu.
miss neddy na Excel..GET A ROOM
Kaizer na mwallu ...rudini kwenye maombi muwache kuripoti wenzenu ilhali nanyi mnayafanya hayohayo kwenye PM... #iSEE
mkuu!!! ebana unaitibulia kanjiwa kangu mitaa ya miti mirefu hukuuuu!!!!
hebu ngoja nimalizie kuweka biti ntarudi! sijui nichukue tax niwahi?
akchualeee!! hehehee! mimi thi bazazi!
Mr Rocky nilidhani sisi ni ndugu...ni nani amekurubuni hadi unanikana kwa vipande thelathini vya shekeli?
Mashaxizo nashukuru ndugu yangu nami nangojea neno la mwekundu.
miss neddy na Excel..GET A ROOM
Kaizer na mwallu ...rudini kwenye maombi muwache kuripoti wenzenu ilhali nanyi mnayafanya hayohayo kwenye PM... #iSEE
Mashaxizo unakubaliana na utetezi wa miss neddy kuwa Mentor sio bazazi
Unajua walikutana angle gani mpaka wanatoleana utetezi kama huo
\Hebu chunguza basi usikubali kubali tuu Excel una kesi ya kujibu hebu kuja faster pande hizi ujitetee kabla sijakifuta cheo chako na kukubandika cheo kingine fasta
Mr Rocky nilidhani sisi ni ndugu...ni nani amekurubuni hadi unanikana kwa vipande thelathini vya shekeli?
Mashaxizo nashukuru ndugu yangu nami nangojea neno la mwekundu.
miss neddy na Excel..GET A ROOM
Kaizer na mwallu ...rudini kwenye maombi muwache kuripoti wenzenu ilhali nanyi mnayafanya hayohayo kwenye PM... #iSEE
Mkuu Mentor ndugu kama wewe siwezi kukukana asilani ni ndugu yangu wa damu kabisa
Ila kuna sehem ulichepuka na unatakiwa urudi kwenye mstari ukisharudi tuu nakutoa kwenye kundi hilo la #teambazazi na unakuwa again Mentor the brave and respected one
Hahahahahahaaaa!
Ok! Mentor nimekubali wewe sio bazazi, na nitakubali zaidi ukitolea ufafanuzi uPM Moderator wako! lol!
Kwaiyo hayo ni maudhui tu ya thired lakini bado haujakubali kuwa Mentor sio bazazi! Si ndio?
Embu nyoosha maelezo.
Mr Rocky huhitaji hata kuwatilia mashaka hao watu Excel na Mentor wako confirmed,sema chama chao kama Freemanson huwa hawatakiwi kujitambulisha ila matando yao ndo kipimo chao cc miss neddyMashaxizo unakubaliana na utetezi wa miss neddy kuwa Mentor sio bazazi