Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Watetezi wangu nishawataja hapo juu wakiongozwa na miss neddy...muite huyo mwenyekiti wenu aje athibitishe hapa!
mmmh..!
na mimi Munkari na miss neddy atakueleza kuwa nimeshajitoa chamani.........ha ha ha ha
hahahahah mbona waguna
niko pembeni mama naangalia mtanange mie! nsije nkapigwa bure! wake za watu nyie sumu!
mmh.. mwanamke wewe una maringo kama umeumbwa kwa dhahabu.. mmh!
ok neddy.. nikutakie maisha mema... ngoja niondoke, usiku ushaingia..
Uandishi mzuri sana,sijui kama hiki kipaji unakitumia ama umekikalia!!!!
Ha ha ha haaaaa! Usiwe mwoga Wewe !
jamani mbona ndege wangu kapigwa ban?
we mzee watu8, mbona ritoto rako ladyfurahia rimetupwa nje!
tatizo nini mzee?
Mmmh!!! hata sijui maana JF kubwa sana hii...huenda kuna mahali kashaharibu