Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,794
Kisa hiki huyu jamaa anataka tuu ajitoe kwenye #teambazazi na wala hakimuondolei hilo Mentor hongera sana kwa kuwa mzima mpaka leo pamoja na kuwa "polisi"
He he he, ni dokta maji marefu? Nimejuuuuta kukufahamu
Doctor wakati ninaujauzito kila dakika namtamani tu mr sijui ni tatizo au kawaida.
Am sure Elizabeth Dominic hakuwa na maana hiyoooo...
Nakupenda bure tu mwallu wangu!!!
Cc: Kaizer na Ntuzu.
Nimeshakuwa cleared na watu wengi mbona au hukuiona mkuu!?
Ahahah Highlander, sikuwa na maana hiyoooo. Ni kisa cha kweli na kimenitokea...simaanishi hakuna mapolisi malaya, lakini simaanishi pia kila polisi ni malaya!
At the end of the day uamuzi ni wako, are you persuaded kukubali au utakataa!
Wasome na wadau wengine uone...the point is, 'Do naught thee judgeth a book by its coverings!'
dogo mbona unanitoa kwenye eye contact bana!
njiwa wangu atapeperuka! hali ya hewa yenyewe inaruhusu! nguvu ninazo! nia na uwezo! babake! nasikia bana mtaa wa saba kuna mzee anaitwa sijui watu8? nasikia ana watoto ni balaa!
ngoja niazime suti nizungukie....!
vp lakini bado uko alone ka kuku aliyemwagiwa maji ya kuoshea vyombo?
Kumbe nakutoroshea ee!
...
Mimi niko mwenyewe tu kama kuku kamwagiwa maji atajijua mwenye kuku!
...
Usiwashe taa, just toa mwangaza kama wa flashi nimsoume uyo kuku! Mwee!
unawezapata taarifa kwa Nicas MteiSijauona huo ujumbe Mentor na ndo maana bado uko kweney kundi nahitaji taarifa ya mwenyekiti ndo nikutoe
Sijauona huo ujumbe Mentor na ndo maana bado uko kweney kundi nahitaji taarifa ya mwenyekiti ndo nikutoe
huyu mzee kanitishia kabastola kae! we ngoja!
ntawatawanya wanae kimya kimya bila kelele!
hajaelewa maninja wanavyotembea kwenye paa la nyumba!
dogo njoo bana nikuganjie kiupaja! usife njaa wakati wazee wa show wapo!