Kiroba kinapo mzidi nguvu afande

Kiroba kinapo mzidi nguvu afande

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
557336_211641852295948_1341297232_n.jpg
 
Jamaniiii...utamfukuzisha kazi MP wa watu.

Hapo anapunguza stress za maisha na hali ya uchumi bro!!:nono:
 
Mwamunyange unawaona askari wako hao; watapigana na mama Banda kwa staili hii?
 
Hee, Sergeant! MP! In uniform! Usingizi! Kiroba!
 
Jamani jamani nakuonea sana huruma we uliyeweka hii picha humu!
 
Jamaniiii...utamfukuzisha kazi MP wa watu.

Hapo anapunguza stress za maisha na hali ya uchumi bro!!:nono:
Kwanza hakuwa anakunywa yeye, alipewa kushikia tu mwenyewe aliyekuwa anakunywa alikuwa amekwenda maliwato LOL LOL
 
hahaha Nyie Huyu Mbona km CHAICHUNGU aka Mjeda wa story tamu tamu hahahaah
 
Back
Top Bottom