Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,817
- 6,102
Atheist vs non believer wew upo wapi hapo ChiefAtafurahi Kweli akisoma hii compliment
Afu nimejitahidi kutafuta ulipoandika kuhusu sayansi ya uchawi ilipoanzia sijapata kama ipo nitag
Nina swali huko afu ndo turudi kwa kiranga