Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,221
- 2,395
Nilitegemea hiyo comment ingekaa design hii.Sio wanawake wote wanapenda pesa...
Wengine hata kuomba hawajui...
Ila kuna ombaomba wachache wanawaharibia...
" siyo wanawake wote tunapenda hela, wengine hata kuomba hatujui"


