Kiprotocal , Waziri akitenguliwa akiwa Mikoani kwenye majukumu, nini hutokea ?

1976 Baada ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kujiuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani alifukuzwa kwenye Nyumba ya Serikal aliyokuwa anaishi Ostybay

Kwa Kuwa Hakuwa na Nyumba binafsi Na alifukuzwa ndani ya saa 24 tangu kajiuzulu Na akapewa saa 48 awe ametoka ilikuwa adhalilike lakin akatokea Hayati Meya wa Zamani wa Dar Es salaam Mstahiki Kitwana Kondo akamkabidhi Nyumba yake aishi Na aliishi pale Kwa Muda wote aliokuwa Dar Es salaam mpaka akaenda Kuwa Rais wa Zanzibar

Ukijiuzulu Au kufukuzwa Kazima ukabidhi Kila kitu Mara Moja japo busara inapaswa kutumika kwenye baadhi ya vitu

Mzee Ally Hassan Mwinyi akiwa Rais aliwahi kumfukuza kazi aliekuwa Waziri wa kazi Na Maendeleo ya Vijana Ndugu Augustine Lyatonga Mrema akaamriwa akabidhi Kila kitu Mara Moja kasoro Nyumba aliyokuwa anaishi Masaki aliamuru aachwe aishi mpaka atakapopata pa kujisitiri Na hakutoka kwenye hiyo Nyumba mpaka Mwinyi anastaafu, alikuja kufurushwa alipoingia Mzee Mkapa
 
Mfano Waziri yupo kwenye ziara ya kikazi Mkoa fulani ( siyo nyumbani wala Dsm /Dodoma), akatenguliwa ghafla , ni mambo gani hutokea ?

1. Kubadilishiwa gari ?

2. Plate Number ya Uwaziri kutolewa ?

3. Ulinzi hutolewa ?

4. Ananyimwa Mamlaka hata kabla ya mwingine kuapishwa ?

5. Anasitisha ziara ?

6. Ananyimwa posho na marupurupu ?
Kwanza dreva wake anapigiwa simu baada ya usalama wa taifa kumpa taarifa rc wa mkoa usika, baada ya hapo plate namba na kila kitu hutolewa. Waziri anawasilj kwa rc kwa ajili ya kupewa usafiri mwingine..

BTW ivi yule waziri aliyejenga viwanda 3000 kwann alitumbuliwa wakati alijenga viwanda vingi ndan ya muda mfupi?
 
Bendera hushushwa na aliyetumbuliwa hakai tena siti ya mbele kisha dereva anamrudisha wizaran kukabidhi. Plate no haibadilishwi coz gar linabak kuwa la waziri hata kama aliyepanda sio waziri.

Hivi kwanini Viongozi wengi wa kiafrika hupenda kukaa mbele ya gari sambamba na dereva wakiwa safarini wakati huko Ulaya kwa Trump wao hupenda kiti cha nyuma ya dereva? au hawa wa kwetu huona ni kick kukaa mbele ?
 
anzisha uzi wake mada nzuri hii
 
Bendera hushushwa na aliyetumbuliwa hakai tena siti ya mbele kisha dereva anamrudisha wizaran kukabidhi. Plate no haibadilishwi coz gar linabak kuwa la waziri hata kama aliyepanda sio waziri.
Hujui ulichoandika
 
Hivi kwanini Viongozi wengi wa kiafrika hupenda kukaa mbele ya gari sambamba na dereva wakiwa safarini wakati huko Ulaya kwa Trump wao hupenda kiti cha nyuma ya dereva? au hawa wa kwetu huona ni kick kukaa mbele ?
Kwahiyo wazungu wanakuwaga sahihi kwa kila kitu siyo
 
Jamaa mmoja alikuwa waziri/naibu waziri akakosa ubunge, hakuchaguliwa wala kuteuliwa na magu, ikabidi shemeji yake amsitiri kwa kumpa sehemu ya kuishi pale mbezi makonde, mpaka alipochaguliwa kuwa mkuu wa mkoa mji kasoro bahari,aliishi kwa tabu sana
 
Kwanza dreva wake anapigiwa simu baada ya usalama wa taifa kumpa taarifa rc wa mkoa usika, baada ya hapo plate namba na kila kitu hutolewa. Waziri anawasilj kwa rc kwa ajili ya kupewa usafiri mwingine..

BTW ivi yule waziri aliyejenga viwanda 3000 kwann alitumbuliwa wakati alijenga viwanda vingi ndan ya muda mfupi?

Swali lako ni la uchochezi na utakuwa umetumwa
 
Back
Top Bottom