Kiprotocal , Waziri akitenguliwa akiwa Mikoani kwenye majukumu, nini hutokea ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Mfano Waziri yupo kwenye ziara ya kikazi Mkoa fulani ( siyo nyumbani wala Dsm /Dodoma), akatenguliwa ghafla , ni mambo gani hutokea ?

1. Kubadilishiwa gari ?

2. Plate Number ya Uwaziri kutolewa ?

3. Ulinzi hutolewa ?

4. Ananyimwa Mamlaka hata kabla ya mwingine kuapishwa ?

5. Anasitisha ziara ?

6. Ananyimwa posho na marupurupu ?
 
Hapana, RC anampa gari nyingine. Au Mara nyingi anasafiri kwa ndege kwa ajili ya usalama wake. Gari ya uwaziri anakabidhi kwa RC wa mkoa aliopo.
Je ni kwa nini asiendelee kutumia gari ya waziri mpaka pale watakapo kabidhiana ofisi?
 
Mfano Waziri yupo kwenye ziara ya kikazi Mkoa fulani ( siyo nyumbani wala Dsm /Dodoma), akatenguliwa ghafla , ni mambo gani hutokea ?

1. Kubadilishiwa gari ?

2. Plate Number ya Uwaziri kutolewa ?

3. Ulinzi hutolewa ?

4. Ananyimwa Mamlaka hata kabla ya mwingine kuapishwa ?

5. Anasitisha ziara ?

6. Ananyimwa posho na marupurupu ?
hupanda gari yoyote kama abiria wa kawaida Dereva hupeleka gari wizarani kwa majukumu mengine huku ikiwa na plate number nyingine . huwa tayari kwa ajiri ya kwenda kukabidhi ofisi mda wowote na vilevile plate namba za gari hubadilishwa wakati huohuo!
 
Madereva ndiyo huwa wanawakumbusha kwani ndiyo huwajulisha kuwa umesikia habari yoyote Mkuu" baada ya hapo dereva anasimamisha gari anaenda kutoa /kukunja bendera na kubadili plate namba.Anageuza gari na kumrudisha Abiria wake alipomtoa Hotel au Ofisini kwake.Na yeye mara moja anaenda kufuata utaratibu wa kumuendea Aliyeteuliwa.
 
Hapana, RC anampa gari nyingine. Au Mara nyingi anasafiri kwa ndege kwa ajili ya usalama wake. Gari ya uwaziri anakabidhi kwa RC wa mkoa aliopo.
Lwenge alinyang'anywa gari barabarani akiwa huko kwake Igwechanya Mkoa wa Njombe.. Cheo ni dhamana
IMG-20181110-WA0024.jpg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom