Kiprotocal , Waziri akitenguliwa akiwa Mikoani kwenye majukumu, nini hutokea ?

Bendera hushushwa na aliyetumbuliwa hakai tena siti ya mbele kisha dereva anamrudisha wizaran kukabidhi. Plate no haibadilishwi coz gar linabak kuwa la waziri hata kama aliyepanda sio waziri.
Magari yote ya Mawaziri yana namba za serikali yaani ST ante hivyo naamini ile ya W.. huondolewa na kuwekwa ya ST ante bila bendera na mhusika kurudishwa nyumbani kwake ama Dodoma au Dar.
 
Madereva ndiyo huwa wanawakumbusha kwani ndiyo huwajulisha kuwa umesikia habari yoyote Mkuu" baada ya hapo dereva anasimamisha gari anaenda kutoa /kukunja bendera na kubadili plate namba.Anageuza gari na kumrudisha Abiria wake alipomtoa Hotel au Ofisini kwake.Na yeye mara moja anaenda kufuata utaratibu wa kumuendea Aliyeteuliwa.
 
Mfano Waziri yupo kwenye ziara ya kikazi Mkoa fulani ( siyo nyumbani wala Dsm /Dodoma), akatenguliwa ghafla , ni mambo gani hutokea ?
Nakumbuka mara moja waziri alienda kondeni/shambani na dereva wake. Akatenguliwa akiwa huko. Yule dereva wake akamwacha huko huko akarudi mjini. Kwenye taaluma ya utawala wanasema office is the incumbent
 
Hivi kwanini Viongozi wengi wa kiafrika hupenda kukaa mbele ya gari sambamba na dereva wakiwa safarini wakati huko Ulaya kwa Trump wao hupenda kiti cha nyuma ya dereva? au hawa wa kwetu huona ni kick kukaa mbele ?
Wenzetu hawapendi makuu, katika uongoz wa trump ni nani anaitwa profesor au Dr. ? .......lakn kwetu .....
 
Back
Top Bottom