Kipofu na Ndogo

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,076
Mamboz waungwana wenzangu?
Ni hivi kuna kipofu mmoja alikuwa anapenda sana kukaa maskani basi cku moja watu wako maskani wakaanza kuongea sasa hivi maneno NDOGO yaani noma lkn maskini ya mungu yule kipofu akawa haelewi hawa vjana wa maskani wanamaanisha nn,ikabidi aulize watu wakamuambia we ukifika nyumbani muambie mkeo akupe ndogo sio anakubania kila cku anakupa kubwa tu,maskini wa mungu kipofu akachukua ushauri ule,alivyofika nyumbani mazungumzo yakawa hivi
KIPOFU:mke wangu how come cku zote unanibania hutaki kunipa ndogo leo lazima kieleweke naomba ndogo
MKE:He!imekuwaje baba watoto miaka yote hiii hujaomba ndogo uje kuomba leo?
KIPOFU:Hamna leo tukiwa tuko maskani vjana wakaniambia maneno ndogo na kama nataka kufaidi basi nikifika nyumbani inabidi nimuombe mke wangu ndogo,kwahiyo mama watoto mie nataka kufaidi leo lazima unipe ndogo
MKE:mie ndogo ckupi na naenda kukusemea kwa baba
Kipofu ikabidi upigwe na butwaa sasa kama ndogo ni tamu kwanini anaenda kunishtaki kwa babaye?ikabidi kipofu arudi fasta maskani kuuliza Ndogo ndio nini?vjana wakampa maana halisi ya ndogo basi akawa kanyong'onyea,ila mke anafika kwao kwenda kushtaki akakutana na baba yake
BABA:karibu mwanangu
MKE:asante baba shikamoo
BABA:marahaba vp mbona hivyo?
MKE:Baba makubwa leo mkweo anaomba NDOGO
BABA:ati nini?
MKE:Mkweo anaomba ndogo
BABA:sasa wewe umekuja kufanya nini hapa nyumbani kwangu?
MKE:baba mie nimekuja kushtaki
BABA:Hebu niondolee upumbavu wako hapa MAMA yako angekuwa sio mvumilivu kama wewe unafikiri mpaka leo tungekuwa pamoja?
 
Back
Top Bottom