kipindupindu is back!!!!!!!

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Messages
1,051
Points
0

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2010
1,051 0
baada ya kutumikia kifungo cha miezi mitatu bila ulalamishi hatimaye nimerudi.nimelimiss jukwaa ile mbaya,nafurahi babu wa loliondo kafifia kama nilivyotabiri.wakuu ban inauma na inafundisha.napenda kuwasalimu wote mlionimiss na wale msionipenda.
tuko pamoja katika ujenzi wa Taifa.
Mods punguzeni adhabu nimekaa kimya lakini adhabu yangu ilikuwa kubwa ukilinganisha na kosa lenyewe.
Im back na sitishiwi nyau,yoyote mwenye kuleta mizengwe nitampa kubwa bila kujali BAN!!!
 

Forum statistics

Threads 1,382,113
Members 526,283
Posts 33,819,964
Top