Kipindu pindu

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,322
2,207
Habari zinasema huko Znz kipindu pindu kinaenea kwa kasi kufuatia mvua na mafuriko.
Mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamelazwa na habari zisizo thibi tishwa zinasema watu 51 wamefariki.
Hili ni janga na Smz hawana uwezo wa kulishughulikia. Mara nyingi wao hutia nguvu zao kwenye kura.
Wasamaria wema , taasisi za kiraia wanaombwa haraka wasaidie ndugu zao wa znz.
Hili ni kufa na kupona
Zinahitajika dawa na drip mbali mbali kwa ajili ya kutibu wagonjwa.
Huu ni wito Tu share hii message
 
Aooo WATAKUWA CCM WAISHE TU
 
Back
Top Bottom