Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 7,867
- 7,387
Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby