The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Sep 12, 2016 Thread starter #21 Katavi said: Kuna ugomvi wa ajabu ajabu mitaani..! Click to expand... Uswahilini kama hujaishi unaweza fikiri wanaigiza
Katavi said: Kuna ugomvi wa ajabu ajabu mitaani..! Click to expand... Uswahilini kama hujaishi unaweza fikiri wanaigiza
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Sep 12, 2016 Thread starter #22 Bob Kawari said: nilikiangalia kwa mara ya kwanza tu kilipoanza kuruka hewani ila maudhui yake niliona kama vile ya kipikwa, toka hapo sijakifuatilia tena. Click to expand... Wewe hujaishi uswahilini ukisshi uswahilini basi utajua kile ni uhalisia...sio kupikwa
Bob Kawari said: nilikiangalia kwa mara ya kwanza tu kilipoanza kuruka hewani ila maudhui yake niliona kama vile ya kipikwa, toka hapo sijakifuatilia tena. Click to expand... Wewe hujaishi uswahilini ukisshi uswahilini basi utajua kile ni uhalisia...sio kupikwa
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Sep 12, 2016 #23 The Boss said: Kina vituko uliona yule alitemewa maji na dada yake kufanyiwa tambiko baada ya ugomvi? Click to expand... Kile nilikikosa ila niliona tangazo lake...dada kashika kikombe kakisemea maneno kisha kamtemea usoni khaaaa..maji kibao
The Boss said: Kina vituko uliona yule alitemewa maji na dada yake kufanyiwa tambiko baada ya ugomvi? Click to expand... Kile nilikikosa ila niliona tangazo lake...dada kashika kikombe kakisemea maneno kisha kamtemea usoni khaaaa..maji kibao
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Sep 12, 2016 Thread starter #24 Heart said: Kile nilikikosa ila niliona tangazo lake...dada kashika kikombe kakisemea maneno kisha kamtemea usoni khaaaa..maji kibao Click to expand... kuna vituko mno uswazi
Heart said: Kile nilikikosa ila niliona tangazo lake...dada kashika kikombe kakisemea maneno kisha kamtemea usoni khaaaa..maji kibao Click to expand... kuna vituko mno uswazi