Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako.

Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni.

Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi.

Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia kama damu zinaendana kati ya baba na mtoto.

Nyama hapa kwenye nyama ni pale vitu kama ngozi kufanana na wewe kama vile ndita mashavu nk.

Mifupa hapa mtoto anakua na umbo structure kama yako , kama vile matege nk.

Ila kubwa kuliko ni nafsi hapa wanaume wengi tunazembea ila kupitia nafsi uhakika wa mtoto kuwa wako au sio wako ni mkubwa sana. Kama mtoto ni wako hapa kuanzia mtoto anavyo kuwa tumboni unakua na muunganiko nae. Yaani mtoto akifika umri wa kucheza tumboni unakua na uwezo wa kuongea nae na akarespond vizuri tu.

Na kingine ni kubeba baadhi ya vitu kama mjamzito vile yaani unaweza ukawa unalala lala kama mamamjamzito...kikifika kipindi cha karibu na kujifungua pale ambapo mama mjamzito mbavu humuuma na mgogo basi hii unaweza pelekea hadi wewe baba kuumwa mbavu na mgongo.

Hapa kwenye nafsi ndio pana kila kitu ukiwa karibu na mama mjamzito utagundua mengi sana kama mtoto wako au sio wako na kipimo cha nafsi hakipo kwa mkemia mkuu hiki ni chako wewe kama wewe.

Sasa ndugu yangu kama unaishi na mkeo tangu abebe mimba hadi anajifungua hujawahi pata chochote kile basi we jua tu unalea damu za wenzio , mimba ikiwa yako kweli kuna vitu vingi utajihusisha navyo....mtoto akiwa tumboni utacheza nae na atacheza kweli. Zile ups and down za mimba utazipitia kama vile kulala lala, mbava kuuma ......nafsi yako kupenda kuwa karibu na hiyo mimba.......if non of above we jua tu umepigwa na likitu lizito nenda kwa mkemia akakukadirie kama akubebeshe au akuachie
 
nmecheka kchz na nadharia zako
 
Mimi huniandama mikosi likiwa ni toto la kiume.

Yaani ridhki inafunga unakuta anakaba mpaka penalty yaani mikwaruzano hadi eneo la kazi.

Kakiwa ka kike, walete walete nakumbuka nilipanda nafasi mbili ya vyeo ndani ya miezi yake 9 na mpaka kanazaliwa kila Dili linatiki.

Nikiona kimya sielewi elewi hujue nitakataa mimba .
 
Watu hawajui haya
 
Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako.

Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni.

Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi.

Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia kama damu zinaendana kati ya baba na mtoto.

Nyama hapa kwenye nyama ni pale vitu kama ngozi kufanana na wewe kama vile ndita mashavu nk.

Mifupa hapa mtoto anakua na umbo structure kama yako , kama vile matege nk.

Ila kubwa kuliko ni nafsi hapa wanaume wengi tunazembea ila kupitia nafsi uhakika wa mtoto kuwa wako au sio wako ni mkubwa sana. Kama mtoto ni wako hapa kuanzia mtoto anavyo kuwa tumboni unakua na muunganiko nae. Yaani mtoto akifika umri wa kucheza tumboni unakua na uwezo wa kuongea nae na akarespond vizuri tu.

Na kingine ni kubeba baadhi ya vitu kama mjamzito vile yaani unaweza ukawa unalala lala kama mamamjamzito...kikifika kipindi cha karibu na kujifungua pale ambapo mama mjamzito mbavu humuuma na mgogo basi hii unaweza pelekea hadi wewe baba kuumwa mbavu na mgongo.

Hapa kwenye nafsi ndio pana kila kitu ukiwa karibu na mama mjamzito utagundua mengi sana kama mtoto wako au sio wako na kipimo cha nafsi hakipo kwa mkemia mkuu hiki ni chako wewe kama wewe.

Sasa ndugu yangu kama unaishi na mkeo tangu abebe mimba hadi anajifungua hujawahi pata chochote kile basi we jua tu unalea damu za wenzio , mimba ikiwa yako kweli kuna vitu vingi utajihusisha navyo....mtoto akiwa tumboni utacheza nae na atacheza kweli. Zile ups and down za mimba utazipitia kama vile kulala lala, mbava kuuma ......nafsi yako kupenda kuwa karibu na hiyo mimba.......if non of above we jua tu umepigwa na likitu lizito nenda kwa mkemia akakukadirie kama akubebeshe au akuachie
Taabu zote za nini? Kwetu Kibosho ukitaka kujua mtoto wako unawaambia wote wakakae jikoni na mama yao. Yule atakayekaa akielekea kutazama mlango siyo wa kwako.... Anatafuta pa kutokea.
 
Back
Top Bottom