#COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

Ni lini viongozi wetu wa kiserikali watazuru China ili kijifunza mambo mbalimbali ya kimaendeleo na kubadilishana uzoefu? Nashauri wabunge waanze kwenda China
 
Wananchi wa Japan wanaokwenda China wameiomba serikali yao kuingilia kati kipimo cha Corona kupitia Mkundu, kwani kinawapa maumivu ya kisaikolojia. Zaidi;

Japan has asked China to stop taking anal swab tests for Covid-19 on its citizens when they enter the country.

Some have complained that the procedure caused them "psychological distress", officials say.

China, which has largely brought the virus under control, started carrying out anal swabs in January.

Last week, it denied it had required US diplomats to undergo such tests after US media reported some had complained about the procedure.

"Some Japanese reported to our embassy in China that they received anal swab tests, which caused great psychological pain," Chief Cabinet Secretary Katsunobu Kato said.

It was not known how many Japanese citizens received such tests, he added.

The tests are used on some of those quarantined or entering China, he also said, noting their use "has not been confirmed anywhere else in the world".

China had not so far responded to the request, he said, adding that the Japanese government had made the request through the embassy in Beijing.

China and the virus that threatens everything. A dazed city emerges from the harshest of lock-downs. Some Chinese cities have introduced anal swabs, with local experts claiming they can "increase the detection rate of infected people".

At the time of their launch, state media reported those tests had been "controversial among experts", and that they were far less efficient than tests in the upper respiratory tracts.

The existing tests were preferred, as they believe most people contract the virus orally, they said.

The tests involve inserting a cotton swab 3-5cm (1.2-2.0 inches) into the anus and gently rotating it.
Siwana Waziri wao wa Saikolojia shida ipo wapi? Wachukuliwe vipimo baada ya hapo waende kufanyiwa kancelling
 
Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho.

Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo hicho cha haja kubwa kwa raia wake, hii ni baada ya baadhi kulalamika kuwa njia hiyo imekuwa ikiwasababishia maumivu ya kisaikolojia!

Kipimo hicho huhusisha kuingiziwa Katika njia ya haja kubwa kifaa CHENYE UREFU WA NCHI 2 chenye pamba nchani na KUZUNGUSHWA HUMO KWA NGUVU, njia ambayo inadaiwa kuwa ni rahisi na ya uhakika ya kugundua mgonjwa wa Covid-19 Ingawa hakuna nchi nyingine iliyobariki matumizi ya kipimo hicho.

Source: BBC NEWS

===

TOKYO (Reuters) - Tokyo has requested Beijing to stop taking anal swab tests for COVID-19 on Japanese citizens as the procedure causes psychological pain, a government spokesman said on Monday.

Chief Cabinet Secretary Katsunobu Kato said the government has not received a response that Beijing would change the testing procedure, so Japan would continue to ask China to alter the way of testing.

“Some Japanese reported to our embassy in China that they received anal swab tests, which caused a great psychologial pain,” Kato told a news conference.

It was not known how many Japanese citizens received such tests for the coronavirus, he said.

Some Chinese cities are using samples taken from the anus to detect potential COVID-19 infections as China steps up screening to make sure no potential carrier of the new coronavirus is missed.

China’s foreign ministry denied last month that U.S. diplomats in the country had been required to take anal swab tests for COVID-19, following media reports that some had complained about the procedure.

Source: Reuters
Em tupia kapicha mkuu.. maana bila picha uzi unapwaya huu!
 
Miaka ya themanini na tisini china walikuwa ombaomba, lakini leo ndio wamekuwa ni katili, waonevu na wanyonyaji kweli kweli. Nadhani walioisaidia china wakati huo (ikiwemo Japan) kwa kutegemea kuwa watajenga uhusiano mzuri leo hii wanajilaumu sana. China walichukua ile bullet train waliyosaidiwa na japan, pamoja na ile waliyotoa Ufaransa wakazikokongoroa kutafuta technology na kuziunganisha kupata bullet train iliyozishinda zile za japan na Ufaransa walizokuwa wameasaidiwa.
 
Inahitaji moyo kwa kweli yaani unabong'oa halafu wanakuingizia kitu kwa kuzungusha kwa nguvu ! Nawaonea huruma wafanyabiashara wetu aisee
 
Back
Top Bottom