#COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho.

Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo hicho cha haja kubwa kwa raia wake, hii ni baada ya baadhi kulalamika kuwa njia hiyo imekuwa ikiwasababishia maumivu ya kisaikolojia!

Kipimo hicho huhusisha kuingiziwa Katika njia ya haja kubwa kifaa CHENYE UREFU WA NCHI 2 chenye pamba nchani na KUZUNGUSHWA HUMO KWA NGUVU, njia ambayo inadaiwa kuwa ni rahisi na ya uhakika ya kugundua mgonjwa wa Covid-19 Ingawa hakuna nchi nyingine iliyobariki matumizi ya kipimo hicho.

Source: BBC NEWS

===

TOKYO (Reuters) - Tokyo has requested Beijing to stop taking anal swab tests for COVID-19 on Japanese citizens as the procedure causes psychological pain, a government spokesman said on Monday.

Chief Cabinet Secretary Katsunobu Kato said the government has not received a response that Beijing would change the testing procedure, so Japan would continue to ask China to alter the way of testing.

“Some Japanese reported to our embassy in China that they received anal swab tests, which caused a great psychologial pain,” Kato told a news conference.

It was not known how many Japanese citizens received such tests for the coronavirus, he said.

Some Chinese cities are using samples taken from the anus to detect potential COVID-19 infections as China steps up screening to make sure no potential carrier of the new coronavirus is missed.

China’s foreign ministry denied last month that U.S. diplomats in the country had been required to take anal swab tests for COVID-19, following media reports that some had complained about the procedure.

Source: Reuters
Kuchezewa washeli sio jambo dogo aisee hasa kwa mwanaume rijali
 
Ukiwa unakwenda china utazoea maana kila ukienda lazima kuchungulie
 
Ikitajwa inch 2 naona kama watu hawaelewi hivi, hii ni sawa na sentimeta 5, au kwa lugha nyepesi ni karibu na urefu wa dole la kati...
 
Ni lini viongozi wetu wa kiserikali watazuru China ili kijifunza mambo mbalimbali ya kimaendeleo na kubadilishana uzoefu? Nashauri wabunge waanze kwenda China
Nimecheka sana.

Ni kqeli wachina sio mabeberu na ni rafiki zetu. Bunge letu litembelee huko kujifunza China inafanyaje kuhakikisha uchumi wake haushuki.
 
utakapoingizwa hapo ndio utajua kati ya mwanamke na mwanaume nani anajisikia raha kwenye tendo
 
Kipimo hiki cha kichina sijui inakuwaje?

Kirusi kimeingilia puani, mdomoni au machoni lakini eti kipimo kichukuliwe kwenye sehemu ya haja kubwa..... Kuna connection hapo kweli?

Ugonjwa wa shida ya kupumua afu kipimo kinachukuliwa hukooo chini?
 
Kama tunaambiwa tuvae barakoa ili kama mtu ana korona asiambukize mwingine kwa njia ya majimaji akiongea au akipiga chafya....basi kipimo rahisi ilikuwa kuchukua sampuli ya mate tu, au mimi ndio sielewi!!!
sijui kwanini ulikuwa kwenye akili yng,
 
Wajapani wana akili sana kuna uwezekano wamegundua mchezo mchafu wa wachina, wingi wao duniani unataka kutusababishia matatizo
 
Back
Top Bottom