Kipigo kwa Waandishi: Jeshi la Polisi latinga Makao Makuu ya CHADEMA...

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,581
18,124
Baada ya walinzi wa CHADEMA Makao Makuu kudhibiti kundi la mamluki waliovamia makao makuu ya CHADEMA jana akiwepo Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Uhuru (Chombo cha Propaganda cha CCM) aliyejifanya Mwanachama wa CHADEMA, Muda huu Kikosi cha Jeshi la Polisi wenye Silaha wamevamia makao makuu ya CHADEMA hadi sasa

*************
Tahadhari
*************

Kichwa cha habari cha uzi huu kimewekwa na Waongoza mjadala (moderators) wa JamiiForums kwa mtazamo wao baada ya kubadili kichwa cha habari nilichoweka ambacho kilisema " Jeshi la Polisi lavamia Makao Makuu ya CHADEMA".

**********

UPDATES:

***********

Askari hao baada ya kutanda eneo la ofisi za makao makuu na silaha nzito wameshaondoka na kuwataka baadhi ya maofisa waliokuwa ofisini jana wafike kituo cha polisi Osterbay.
 
Baada ya walinzi wa CHADEMA Makao Makuu kudhibiti kundi la mamluki waliovamia makao makuu ya CHADEMA jana akiwepo Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Uhuru (Chombo cha Propaganda cha CCM)aliyejifanya Mwanachama wa CHADEMA ,Muda huu Kikosi cha Jeshi la Polisi wenye Silaha wamevamia makao makuu ya CHADEMA hadi sasa

Wanataka nini tena mangi?
 
ben wanataka vitu mlivyompora mwanahabari wa star tv
 
Back
Top Bottom