Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!!

Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie kumshawishi Putin kufikia suluhisho la amani. Source: Aljazeera.

Zelenskyy urges China’s Xi to help end Russia’s war in Ukraine
Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy has appealed for direct talks with China’s Xi Jinping as he urged Beijing to use its political and economic influence on Russia to help end the war in his country.

Ukiona hivyo ujue maji yameshazidi unga, ukitilia maanani jinsi Zelensky alivyokuwa akitamba huku akivimbishwa kichwa na nchi za Magharibi!!
Hiyo habar umeielewa we pro Russia maana umepata kashimo kadogo tuu unataka kutokea hapo,zelesky alimwambiaga tangu kitambo ,lakin China haikujibu maanake ,karata inayochezwa hapo ni kuiunganisha China na Russia wako kitu ,kimoja,maana hata tukio la Nancy kutua Taiwan ni Russia peke. yake aliyelaan hilo tukio,hivyo wanawekwa kwenye kapu moja la nchi zisizojali Uhuru na democracy ,za nchi nyingine.Kwa taarifa yako vita bado sana hii wako wanajeshi 10000 wa Ukraine wanapokea mafunzo ya kikomsndo UK, wengine 2000 wanchukua mafunzo ya kurusha ndege za kisasa,kinachofanyika sasa hivi ni kumchelewesha Russian Angie kwenye mstar mwekundu ndipo uajua kwa nini sadamu alikiri marekani haishindwa kwa vita Bali siasa pekee ndio inaweza angamiza marekani,Russia kapelekewa himas 12 zimempiga pini hasogei amebaki kulalamika marekani kaingia direct,tulien mtanyooka mwaka huu
 
Pro Russia mkiletewa habari mna ruka nayo tu bila hata kufikiria, Russia wamepigwa kamba hawasongi mbele,
Russia tukisema hana akili ujue hana uwezo wa kufikiri unarusha makombora 6400 na hata hayalengi target lakini mwenzake anatumia HIMARS anarusha hata 1000 yote ni target nani mwenye hasara.

Russia kapaniki anajirushia rushia makombora tu, mpaka achoke achakae wenzake wataongeza nguvu na siraha za maana.
Alafu kakopi na kupest kajikipande ka habari habari iko CNN,na BBC inaeleweka vizuri ,pro Russia sasa hivi hawana good news wanatafuta tumstari TWA kujifariji kila siku ,aisee
 
Pro Russia mkiletewa habari mna ruka nayo tu bila hata kufikiria, Russia wamepigwa kamba hawasongi mbele,
Russia tukisema hana akili ujue hana uwezo wa kufikiri unarusha makombora 6400 na hata hayalengi target lakini mwenzake anatumia HIMARS anarusha hata 1000 yote ni target nani mwenye hasara.

Russia kapaniki anajirushia rushia makombora tu, mpaka achoke achakae wenzake wataongeza nguvu na siraha za maana.
Mkuu, nakupa mwenzi mmoja rudi hapa jamvini utupatie mrejesho kuhusu jeshi la Ukraine kama liko in one piece au limekwisha sabaratishwa na artillery za 24X7 za Urusi, bombers, jet fighers na Navy - Zelensky hasijidanganye awezi kutunia misuli a military super power, Urusi ilikuwa inamstahi sana Zelensky kwa kumpiga kindugu ndugu, sasa Putin ame-decide kumugeuzia kibao Zelensky na Serikali yake hivyo yeye itakuwa vigumu kuendelea kubaki madarakani.
 
Yale si maneno ya Zelensiky, bali katumwa. Na ametumwa kuchomekea haya hapa chini kama nilivyoyanukuu kwenye vyanzi vya habari
====
The Ukrainian president also warned of the long-term global consequences of the conflict, which he predicted will harm food and energy security and also slash Chinese exports. According to Zelensky, due to the ongoing hostilities, many countries are spending more on food, fuel and weapons rather than other goods.

The people would have to pay for energy resources rather than for products coming from China … Exports from China would be decreasing. That’s 100 per cent,” he reiterated
===
Ametumwa kumtisha China!
 
Apo mrusi anamaliza operation., mchina anaanzisha oparation. Inakuwa kama waliambiana na supa pawa wa zamani za kale atabaki anashangaa na kufikiria jinsi gani anaweza kuwaingiza NATO kwenye mgogolo maana mtego aliomtegea mchina umefeli wa kutaka mchina kulipua ndege ya bibi kizee polos
 
Yale si maneno ya Zelensiky, bali katumwa. Na ametumwa kuchomekea haya hapa chini kama nilivyoyanukuu kwenye vyanzi vya habari
====
The Ukrainian president also warned of the long-term global consequences of the conflict, which he predicted will harm food and energy security and also slash Chinese exports. According to Zelensky, due to the ongoing hostilities, many countries are spending more on food, fuel and weapons rather than other goods.

The people would have to pay for energy resources rather than for products coming from China … Exports from China would be decreasing. That’s 100 per cent,” he reiterated
===
Ametumwa kumtisha China!
Kumbuka Zelensiky alikuwa comedian hivyo mpaka sasa hivi anaendelea na u commedian wake , ameishashindwa ila hataki kukiri moja kwa moja
 
Mkaidi asiyekubali kushindwa.anatumia delay tatic kumfumbaza urusi halafu analianzisha.
 
Silaha kama HIMARS haiwezi kuwa jibu wala kuwa effective kwa taifa kama Russia.

Ukraine itaumia tu, Yaani Russia nchi ya kwanza duniani kufika mwezini, nchi ya kwanza kurusha satellite 1953 eti leo hii lori lililobeba vi mizinga liwe tishio kwao

Ushabiki na propaganda zingine hazina maaa.
Hiyo ni nchi ya historia
 
bas tifu likizuka hasa ikawa ya world utakuta wanakuja kutubeba afrika hii hata wakatian nyuklia weus tungekomaa tu tunaangalia watfuane wenyew
 
Pro Russia mkiletewa habari mna ruka nayo tu bila hata kufikiria, Russia wamepigwa kamba hawasongi mbele,
Russia tukisema hana akili ujue hana uwezo wa kufikiri unarusha makombora 6400 na hata hayalengi target lakini mwenzake anatumia HIMARS anarusha hata 1000 yote ni target nani mwenye hasara.

Russia kapaniki anajirushia rushia makombora tu, mpaka achoke achakae wenzake wataongeza nguvu na siraha za maana.
Kweli ungekuta hii vita kashinda kitambo na kawin baadhi ya majimbo ya ukraine.

Hata na hivyo, taiwan ungekuta kitambo imeshavamiwa na china.
Navyo ona, china ameshindw kwasababu, anawezapoteza silaha zake zote na mwisho wa siku akaambulia patupu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom