Kipigo cha wana ifm: Kova ameonesha uhalisia wa jeshi la polisi.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,265
4,716
nimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi kutoa taarifa ya uharifu unakuwa mtuhumiwa wa kwanza, . mbaya zaidi Kova anaenda mbali kwa kuwataka wanafunzi wamsaidie yeye kuwalinda wananchi wa kigamboni ambao wanakila aina ya madhila ya wizi, ubakaji na vurugu za mitaani. inasikitisha sana.
 
nyie wanafunzi acheni ubishoo na usharobaro, hivi kweli hao vibaka wanawaingilia hadi hosteli na kuwaibia na kama haitoshi kuwabaka? haijawahi kutokea, kweli watoto wa kiume mnashindwa kupambana? eti mnataka ulinzi wa polisi, polisi atawalinda hadi billicanas? kwanza watoto wa kiume mnajichubua pia mnavaa mlegezeo(mnawatamanisha mkalio yenu) kwanini wasiwabake! pia HAMNA USHIRIKIANO NA WENYEJI MNAJIONA NYIE NDIO NYIE HATA SALAMU HAMNA, MNACHUKUA DADAZAO NA WAKE ZAO HALAFU WAKILIPIZA MNATAKA ULINZI WA POLISI( POLISI WANALINDA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI NYETI KAMA MABENKI SIO HOSTELI ZA WANAFUNZI). ushauri: BADILIKENI.
 
namna ulivyochangia kama una chuki nao!!!????
 
Yes umenikumbusha mbali sana miaka ya 1990 kurudi nyuma hadi tangu Tanzania ilivyoumbwa ilikuwa ukiwa umeona mwili wa mtu mfu yaani maiti porini ukienda kutoa taarifa polisi basi kama hukuwa umeaga nyumbani watapata shida sana kujua uliko, maana unakuwa mtuhumiwa namba moja na miaka ile ilikuwa hakuna wanaharakati wakakupigania kesi yako iendeshwe haraka kama ilivyo leo.
Kifupi poleni sana IFM.
 
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?

Police Brutality.jpg
 
Kigamboni kuna kambi la jeshi. Kwanini wasisaidie kutoa ulizi na kusaka hawo majangili ? kama waliweza kupeleka jeshi kariakoo, kulikoni wasiweze kumaliza tatizo la kigamboni ?
 
namna ulivyochangia kama una chuki nao!!!????

Mkuu hajaonesha chuki yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:
 
nimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi kutoa taarifa ya uharifu unakuwa mtuhumiwa wa kwanza, . mbaya zaidi Kova anaenda mbali kwa kuwataka wanafunzi wamsaidie yeye kuwalinda wananchi wa kigamboni ambao wanakila aina ya madhila ya wizi, ubakaji na vurugu za mitaani. inasikitisha sana.

RED: Waliambiwa waende uwanja wa machava wakataka kwenda kituoni kigamboni..ulitaka awachekee? Pili, waliona washkaji wanaochimba chokaa pale wakataka kuanzisha vita..ulitaka wawachekee?

BLUE: Jamani, suala la ulinzi ni letu wote. polisi hawawezi kutulinda sote ni jukumu letu kuhakikisha mazingira salama tunapoishi.
Kigamboni ni sehemu moja ammbayo inahitajika sana ushirikiano na wakaazi. Acheni kupiga mziki mkubwa usiku mnapolala such that jirani yenu anaibiwa nyie wala hamsikii. Kuweni na ushirikiano na wenyeji.

Last but not least, "To whom much is given, much will be demanded..and viceversa is true, To whom less is given..." (Kwa askari mnaowalipa 276,000/- basic salary (sawa na posho ya mwanajeshi..na halafu wote hawa ni category moja ya ULINZI NA USALAMA!!!) mnataka wapite mitaani usiku doria??? kwanini msiende kuandamana kwa wanajeshi wa navy wafanye doria wao? Kwani si mnajua vibaka wakiiba wanakimbilia kipori cha machava cha Navy??!)

Mentor,
Mtoto wa Polisi.
 
nyie wanafunzi acheni ubishoo na usharobaro, hivi kweli hao vibaka wanawaingilia hadi hosteli na kuwaibia na kama haitoshi kuwabaka? haijawahi kutokea, kweli watoto wa kiume mnashindwa kupambana? eti mnataka ulinzi wa polisi, polisi atawalinda hadi billicanas? kwanza watoto wa kiume mnajichubua pia mnavaa mlegezeo(mnawatamanisha mkalio yenu) kwanini wasiwabake! pia HAMNA USHIRIKIANO NA WENYEJI MNAJIONA NYIE NDIO NYIE HATA SALAMU HAMNA, MNACHUKUA DADAZAO NA WAKE ZAO HALAFU WAKILIPIZA MNATAKA ULINZI WA POLISI( POLISI WANALINDA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI NYETI KAMA MABENKI SIO HOSTELI ZA WANAFUNZI). ushauri: BADILIKENI.

Haujakua! Ukiwa na akili za binadamu aliyekamilika uuarudi hapa kuomba msamaha kwa maneno yako uliyoyaandika
 
Hili la wanafunzi wa kiume kubakwa kidogo limeniacha mdomo wazi, imekuwaje mpaka mtoto wa kiume ubakwe tena kirahisi kama mlivyoelezea, hostel zipo sehemu nyingi hapa Tanzania lakini sijawahi sikia hadithi kama hiyo mi nadhani kama kuna aliyebakwa huyo alikuwa analipiziwa na hao jamaa walidhamiria kumkomesha, kingine naungana na mchangiaji mmoja hapo juu wanafunzi munajiskia sana, hamuna adabu kwa waliowazidi umri na munaringa na kujiona nyinyi ni tofauti katika maeneo munayoishi, nawapa pole kwa vitendo mlivyofanyiwa ila badilikeni na muwe na nidhamu kwa wenyeji wenu.
 
nyie wanafunzi acheni ubishoo na usharobaro, hivi kweli hao vibaka wanawaingilia hadi hosteli na kuwaibia na kama haitoshi kuwabaka? haijawahi kutokea, kweli watoto wa kiume mnashindwa kupambana? eti mnataka ulinzi wa polisi, polisi atawalinda hadi billicanas? kwanza watoto wa kiume mnajichubua pia mnavaa mlegezeo(mnawatamanisha mkalio yenu) kwanini wasiwabake! pia HAMNA USHIRIKIANO NA WENYEJI MNAJIONA NYIE NDIO NYIE HATA SALAMU HAMNA, MNACHUKUA DADAZAO NA WAKE ZAO HALAFU WAKILIPIZA MNATAKA ULINZI WA POLISI( POLISI WANALINDA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI NYETI KAMA MABENKI SIO HOSTELI ZA WANAFUNZI). ushauri: BADILIKENI.

bila shaka uliombaga nafasi IFM ukanyimwa yani umeonesha chuki ya waziwazi.
 
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?

View attachment 79503

Hawa ndo wanaitwa taifa la kesho wanapigwa. Polisi wetu tanzania hawana akili? Kuku amewazidi katika kufikiria. Wao wanachojua ni kupiga na kuiba. Sio wanachofundishwa ccp, kurasini na zanzibar. Unampiga kijana wa watu hivyo haujui ana matatizo ya afya au la! Akifa? Si wewe kama wewe utakuwa umeua na sio kova, ukilogwa hapo utalalamika? Acheni kuwa na akili za kijinga, tumieni busara kufanya kazi zenu. Uzuri siku hizi mnaipata fresh, kama sio kichapo, mnafukuzwa kazi kisha mahakamani
 
bila shaka uliombaga nafasi IFM ukanyimwa yani umeonesha chuki ya waziwazi.

Yeye ni msomi wa ukweli enzi zake anasoma, IFM walikuwa wanatoa Advanced Diploma naye alikuwa akihitaji degree hivyo hajawahi kuomba kusoma IFM. Amewaambia ukweli, badilikeni. Sifahamu vibaka wametoa wapi ujasiri wa kuvamia hostel, moja ya makundi yanayotisha ni wanafunzi. Jifueni mfanye mazoezi ya nguvu halafu muwavizie na kuwapa kipigo cha mwaka iwe demo kwa vibaka wenzao, acheni kuandamana, huo ni udhaifu mkubwa.
 
Back
Top Bottom