Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Andaa mazingira ya kufanya akuhitaji wewe kimwili kabla hujamuhitaji wewe.... Wanaume mnafeli sana mkioa mnataka mfanye lile jambo kama kuku....
 
Kama mna tofauti Jitahidi kuzitatua kwanza, kisha mfanye akuone kama vile ndo unamtongoza tongoza, maneno matam , ukitoka mletee vizawadi, ukifika home mkute mkiss, yote ili arudishe hisia zake kwako.... Ukikaa nae cheza nae kama mtoto, mshike taratibu hapa na pale.... Sio jiwe huyo ana hisia zitakuja atakuhitaji tu......... Sasa huo mwendo uwe kila mara ukitoka mtext msifie mwambie jinsi gani unafurahia mnavopeana mambo, mwambie unatamani kila siku awe anakupa...... Hehehehe bwana we kwa ufupi ni hivyo na vingine vingi nshachoka kuandika.
Toa somo basi mkuu
 
Dah pole kuna kipindi wife alishaanza hizo baada ya siku moja alijichanganya akanijibu shiti alichezea kofi za maana akaona isiwe tabu ngoja aanze mgomo baridi.

Mimi nikasema poa tu, sibembelezi mtu, back days kuna binti nilikuwa nampenda sana, naye wife anamjua, wife alishakuta mawasiano na sms kwa simu yangu, pia siku moja tukiwa kwenye harusi fulani, huyo binti tulikuwa naye kwenye kamati moja ya vinywaji so kuna wakati tulikuwa tunaongea, kwakuwa huyu binti alikuwa amevaa viatu virefu alikuwa anakosa balace ya kusimama kwasababu ya kusimama muda mrefu unajua tena wadada akawaanishika bega kila wakati , duh kumbe wife alimuona kilichotokea hapo kifupi tuliacha sherehe tukaondoka, ila tulikuja kuyaongea tukayamaliza.

Nije kwenye point baada ya kuona mgomo inaendelea nikawa kila siku narudi nipo maji haswa na nakuwa na huyo binti wakati mwingine just for a drinks na story.

Siku moja nikatengeneza mchezo mara kadhaa huwa naota mpaka naongea siku hiyo nikaanza kumtaja huyo binti kwa sauti namwambia Deby i love so much, ur so qute baby hivyo yaani, huku namkumbatia wife kwa hisia....nilisikia wife anaguna mhhhh fluni unasemaje?nikakaa kimya kama sijamsikia vile.

Kesho yake mchana aliniandikia sms anaomba tuonane lunch kwa nusu saa anamaongezini nikamwambia sawa tukakutana aliniambia kwa unyonge sana, jua mimi ni mkeo nipe thamani yangu, naona umeamua kuanza tena mahusiano na Deby ndiyo maana unachelewa kurudi.

Nikamwambi nope umejuaje, wewe ni mke wangu siwezi kufanya hivyo pamoja na umeweka mgomo baridi siku mbili lakini siwezi katu kukusaliti, siku nikikusaliti ujue hutaniona week nzima.

kifupi alijutia kosa lake tukayamaliza yakaisha maisha yakaendelea.
Oooh deby nimeipenda hiyo njia na mmi pia naitumia ingawa anaonyesha kutotishika sana
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Rudi chamani chaputa kuepusha mengi, ndoani kuna kuchokana kwahiyo tegemea hayo,
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Ngoja nikupe mbinu mkuu naona unateseka mwanaume mwenzangu,

dawa na mbadala wa hili ni moja tu jaribu kuwa mbunifu kwenye mapenzi na ujanja mwingi kwa mkeo, sio kila siku unaombea mechi nyumbani kwako jaribu kubadilisha mazingira, mtoe outing nyingi pia mwambie unatamani makalale nje ya nyumba hasa weekend mkainjoi huko mbebe na wine hakika utakuja kunishukuru sana mzee iceberg hapa, mazingira pia huleta penzi kuchipua na outing nyingi mnapotoka mnapata nafasi kuzungumza kila mmoja changamoto zake
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Kitu nilichugundua kingine mwanamke huchukia sex nyumbani kwanza huwa tunafanya haraka ambapo haimpi raha mwanamke, pia anakua hawezi kujiachia kufanya nyumbani kwa kuwa anashindwa hata kujiachia misisimuko anajizuia kupiga hata kelele akihofia watoto au watu walio nyumbani watasikia so hoja yangu ile mtoe outing itakusaidia

Achana na chaputa hulegeza mishipa ya kwenye uume
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Piga punyeto bwana mbona vitu vingine ni kujiongeza tu,

Enewei karibu CHAPUTA
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Pia ubunifu mwingine msifie mkeo mzee, ukiwa kazini mtumie msg mwambie nipo busy ila nimekumbuka tu upaja wako hapa hata kazi hazisogei, chuchu zako huwa zinanipa moto sana, so pitia ujumbe huo unamuasha hisia zake na kumfanya ajue unamuwazia mara kwa mara na unampenda kwanini asikupe sasa tunda mzee, itakua ni uzembe wako
 
Back
Top Bottom