Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Hawezi kukunyima bila sababu.
Ni kweli, sabb yaweza kuwa nzuri au mbaya, mfano labda kapata penzi jipya nje, nk. Ila hata kukiwa na sabb nzuri labda ME anyimwe mara 1, 2 au 3, basi. Sio siku zote. Hata andiko linasema "Msinyimane.."

1 Wakorintho 7:5​

Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu...
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Njia mbadala huwa ni kumpandisha cheo na kua bi mkubwa .
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimlazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Dah pole kuna kipindi wife alishaanza hizo baada ya siku moja alijichanganya akanijibu shiti alichezea kofi za maana akaona isiwe tabu ngoja aanze mgomo baridi.

Mimi nikasema poa tu, sibembelezi mtu, back days kuna binti nilikuwa nampenda sana, naye wife anamjua, wife alishakuta mawasiano na sms kwa simu yangu, pia siku moja tukiwa kwenye harusi fulani, huyo binti tulikuwa naye kwenye kamati moja ya vinywaji so kuna wakati tulikuwa tunaongea, kwakuwa huyu binti alikuwa amevaa viatu virefu alikuwa anakosa balace ya kusimama kwasababu ya kusimama muda mrefu unajua tena wadada akawaanishika bega kila wakati , duh kumbe wife alimuona kilichotokea hapo kifupi tuliacha sherehe tukaondoka, ila tulikuja kuyaongea tukayamaliza.

Nije kwenye point baada ya kuona mgomo inaendelea nikawa kila siku narudi nipo maji haswa na nakuwa na huyo binti wakati mwingine just for a drinks na story.

Siku moja nikatengeneza mchezo mara kadhaa huwa naota mpaka naongea siku hiyo nikaanza kumtaja huyo binti kwa sauti namwambia Deby i love so much, ur so qute baby hivyo yaani, huku namkumbatia wife kwa hisia....nilisikia wife anaguna mhhhh fluni unasemaje?nikakaa kimya kama sijamsikia vile.

Kesho yake mchana aliniandikia sms anaomba tuonane lunch kwa nusu saa anamaongezini nikamwambia sawa tukakutana aliniambia kwa unyonge sana, jua mimi ni mkeo nipe thamani yangu, naona umeamua kuanza tena mahusiano na Deby ndiyo maana unachelewa kurudi.

Nikamwambi nope umejuaje, wewe ni mke wangu siwezi kufanya hivyo pamoja na umeweka mgomo baridi siku mbili lakini siwezi katu kukusaliti, siku nikikusaliti ujue hutaniona week nzima.

kifupi alijutia kosa lake tukayamaliza yakaisha maisha yakaendelea.
 
Back
Top Bottom