Kipi ni bora zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi ni bora zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ney kush, Feb 20, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Wana JF habari zenu naomba mnisaidie nimemaliza form 4 nimefaulu masomo ya Géography,mathematics sasa nataka kuamua kwenda IT pale IFM au nikasome advance tu kwasababu EGM IMEKUBALI NISAIDIENI KWA USHAURI.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nenda advance tu mkuu ili ukimalza uwe na uwanja mpana wa kuchagua nin cha kusoma.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  umefaulu masomo mawili tuu? na huko IFM unaenda kusoma Certificate, diploma au bachelor??? nadhani ujajieleza vyema.. BTW, mimi nakushauri uendelee Advance then ukishamaliza kichwa kitakua kimefunguka zaid..
   
Loading...