Kipi kitakuuma kati ya hivi..

Kipi kitakuuma kati ya hivi..

#draaaaa umetsha mbaaya mkubwaa.

No.13 itaniuma xana bt no.15 itakatsha ndoto zangu yote za kucheza ulaya.
 
1,7,12 na 19 ndugu ni noma balaa mtu wangu.namba moja imenitokea live miezi 12 sijalipwa mwaka 2009 sintasahau serikalini kabisa hii ndio utawala wa ccm na kikwete.
 
1,7,12 na 19 ndugu ni noma balaa mtu wangu.namba moja imenitokea live miezi 12 sijalipwa mwaka 2009 sintasahau serikalini kabisa hii ndio utawala wa ccm na kikwete.

m hyo ya 19 mkuu JAJU
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke anakuchomekea gari barabarani, unashuka unamtukana matusi yote huku ukimwita malaya yeye anakaa kimya na kuondoa gari yake. Wewe uko safarini kwenda kwa mchumbako ambaye amekualika kukutambulisha kwao. Unafika, unakaribishwa vizuri na binti pamoja na ndugu wengine waalikwa. Binti anakueleza kuwa mama ametoka kidogo tusubiri ili utambulisho uanze. Baada ya muda unamuona yule mwanamke uliyemtukana anaingia na binti anamkaribisha, Karibu mamangu tulikuwa tunakusubiri wewe!!!
 
no 15 rahisi, no body anaweza kumkaka mess so watakuelewa tu
 
Namba 19 ndo inatuweka wengi mjini, inatupatia kila kitu mtu akitakacho hivyo nakushauri na wewe urudi darasani maana usipoangalia utakuwa MUULLUUGGOO wa Jf
 
no 17,hiyo ya supa gluu ni noma,maana baada ya kusoma moyo uliniuma sana
 
Back
Top Bottom