msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,141
1.Baada ya kufanya kazi siku 30,unafukuzwa kazi bila mshahara.
2. Ukiwa una download kitu kwenye net inafika 99% alafu inagoma.
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa alafu unashindwa kuelewa mwandiko Wako mwenyewe.
4. Unanunua simu Leo tsh elfu sabini alafu kesho zinawekwa kwenye promo zinauzwa elfu thelathini.
5. Unamualika Demu mkali kwenye dinner unaagiza samaki alafu mwiba wa samaki
unakukaba kooni.
6. Unakamata manzi alafu unazama nae getoni alafu unashindwa kusimamisha...
7. Unavunja uhusiano na boyfriend Wako alafu siku inayofata ananunua gari aina ya vogue ya shilingi milioni 90.
8. Unanunua pafyumu kali lakini kwapa bado linatema.
9. Unafanya kazi kwenye kampuni miaka 10 bila kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara.
10. Unamdanganya mkaba roba kuwa huna simu alafu inaita..
11. Unagombana na mtu barabarani alafu kufika ofisini unapokwenda kuomba kazi unamkuta anakufanyia interview.
12. Kama gari lako linatumia muda mwingi gereji kuliko barabarani.
13. Kwenye pepa matokeo yanatoka umefeli mathematics na kiswahili pia!!!...
14. Unaingia kwenye pepa alafu unasahau jina lako la kwanza.
15. Unasajiliwa kama beki kwenye timu ya barani ulaya alafu jaribio la kwanza unapewa kumkaba Lionel Messi.
16. Kama mtoto Wako wa pekee anajiunga na JWTZ.
17. Kama ukikosea ukaweka super glue machoni badala ya dawa ya macho.
18. Kama utapiga picha photoshop lakini bado unaonekana m'baya.
19. Kama panya atakula jina lako tu kwenye Cheti chako muhimu.