KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Dont be naive. Kasome Kumbukumbu la torati/sheria 14:26. Unaweza kuanzia mstar wa 22 ukitaka stori kamiliTahadhari:
Zote ni Pombe na kwenye Biblia ulevi umekatazwa
Dont be naive. Kasome Kumbukumbu la torati/sheria 14:26. Unaweza kuanzia mstar wa 22 ukitaka stori kamiliTahadhari:
Zote ni Pombe na kwenye Biblia ulevi umekatazwa
Aisee kumbe Yesu nae alikuwa mlevi komba?sasa kama Mungu akilewa hawa wengine hali inakuwaje kwenye maamuzi.Aaah wapi yesu aligeuza Maji Kuwa mvinyo
bia yetu, kanda yetu.Balimi Extra Lager
Hyo ni kati ya zilizoorodheshwa na mwenye mada?!Kunywa CHIBUKU mkuu! Iko poa sana
Hahahhahahahhaah ngoja niombe ruhusa.Uko vizuri sana naweza kupata kampani yako weekend hii ili tunywe wote hizo Serengeti?